@afyanimtajiwako1: Je, umewahi kujiuliza kwa nini baada ya kukojoa unahisi uchovu, hamu ya tendo la ndoa inapungua au nguvu za kiume zinabadilika? Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kuchangia hali hii, ikiwemo: 1️⃣ Mabadiliko ya homoni. 2️⃣ Kisukari na presha. 3️⃣ Msongo wa mawazo na uchovu. 4️⃣ Matatizo ya tezi dume. 5️⃣ Matatizo ya mzunguko wa damu. 💡 Kumbuka: Kupungua kwa nguvu za kiume si lazima kuwe ni tatizo la tezi dume. Ni muhimu kujua chanzo kupitia uchunguzi sahihi. Afya ni mtaji wako! Usisubiri hali iwe mbaya ndipo uchukue hatua. 📩 Ungependa kujua zaidi kuhusu afya ya mwanaume? Niandikie ujumbe. #creatorsearchinsights #afyanimtajiwako #flppppppppppppppppppppppppp #nguvuzakiume #tezidume