natafuta marafiki wa hovyo tuunge group la connection 😂😂
2026-11-10 06:15:33
58
Nikotruth :
Jamaaa yuko sahihi bhan sasa we kila kitu dada hata me ningefanya alichofanya😅😅
2026-11-10 07:54:51
7
AGATHA♥️ :
kweli wanawake zangu tujitahidi majukumu ya mke kwa wanaume zetu kufanya kazi jmn mabinti wa kazi tunawapenda wanajituma,wanajitolea kama wameolewaa🙏🙏🙏Mwamba kaondoa upwiru dah nacheka kama mazur haki😂😂😂😂🙌
2026-11-10 06:08:51
14
Frank,tz :
kaka heshima kwako safi sana hili nalifanyia kazi na Mimi 💯
2026-11-10 08:55:59
5
PeterPWJJ42 :
Hiyo ndoa ishakuwa balaa kama kila mtu ataanza kulipiza kisasi.mke.alifanya makosa lakin mme pia amekosea.mwanaume ukishindwa kukontro hisia ,huwezi kumkontro mke
2026-11-09 19:57:42
34
Familia Kibena :
adi nimedindisha 😂😂
2026-11-09 22:55:49
117
hammy_de_sponsor🦁 :
m sipend tugombane alaf uingize kingerezaa maraaa ooh stop stop hizo m ctaki😂😂
2026-11-10 09:24:54
6
DANNY 📌⚔️⚔️🔥 :
mwenyekiti wetu uyo 😂😂😂
2026-11-10 05:56:41
31
To see more videos from user @chimalaspotihd, please go to the Tikwm
homepage.