@wilsonmbalazi: 1. Jifunze kutawala akili yako 2. Dhibiti mawazo yako 3. Muda wako ni muhimu 4. Kubali mambo usiyoweza kuyabadilisha 5. Nidhamu ni muhimu kuliko hisia 6. Usipoteze muda kuwahukumu wengine 7. Kila siku ni nafasi ya kujiboresha Zoezi lako la leo Kabla ya kulala, jiulize maswali haya matatu: 1.Leo nimefanya nini kilichoongeza thamani katika maisha yangu? 2.Ni tabia gani imenizuia kusonga mbele? 3.Kesho nitafanya nini tofauti ili niwe bora zai share video hii,like,comment na follow tukutane tena azimia kubadilika inawezekana #meditation #braindetox #JengaAkiliYako #UkuajiBinafsi #change

wilsonmbalazi_official page🏋️
wilsonmbalazi_official page🏋️
Open In TikTok:
Region: US
Monday 09 November 2026 14:42:15 GMT
33
5
1
0

Music

Download

Comments

veronicangowi328
vee :
Asante 👍
2026-11-09 16:04:49
1
To see more videos from user @wilsonmbalazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About