@abdulqadirmasuo:

Ustadh Kadiri
Ustadh Kadiri
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 09 November 2026 15:39:30 GMT
2960
129
21
6

Music

Download

Comments

user44098211601442
swahaba mpokomo :
mm sipigi maulidi lakni sina chuki kiasi hiko ulicho nacho.kwa hio swali ulilo uliza mtume atafurahi ama ataksirika na kama takasirika nileeze atakasirishwa na nini
2026-11-10 06:47:50
0
user38234431161821
jambojoy :
Yaani kusherehekea swadaka ama kulisha watu kwa ajili ya kutungamana na kumsifu na kumsalia mtume ni kukosa adabu,Nyinyi wenye chuki na hasad ya kupinga kumsherehekea mtume ndio wenye adabu?wewe wajua kulisha mtu chakula ni thawabu? Hujui watu waishi vipi na wengine kupata rizki ya kila siku ni shida,Leo waudhika kwa kuleta furaha ya kulisha maskini kwa ajili kumsifu na kumsalia mtume.
2026-11-09 18:29:38
0
mustafanaida
Abuusalman :
kwel kabsa akhy
2026-11-09 16:24:11
3
rama.bakar2
Rama Bakar :
😃😃😃😃 DUU HADI WALI UNAUJIBU HAHAHA
2026-11-09 17:00:57
1
..a.9156
..a. :
Allah akubaarik Ustadhi na akulinde dhidi ya mahasidiآمين
2026-11-09 18:59:17
2
safinatandiko
Safina Tandiko :
uwaambie hao
2026-11-10 15:52:10
0
user3236798000185
Abu Haarith :
Acha ujuha hajibu kula wali amesema kutaadabu na mtume صلي الله عليه وسلم
2026-11-09 18:05:57
2
user5034312690290
user5034312690290 :
kadiri kadiri duh, mwanchuoni wetu mpya mashallah, ilimu zimewachia vinyozi
2026-11-10 05:55:57
0
user2703142599445
أبو سعيد الأثري :
حفظك الله ورعاك من كل سوء ومكروه.
2026-11-09 19:32:03
1
user5069506185713
user5069506185713 :
kweli
2026-11-09 18:43:41
1
nurushahab
nurushahab :
ASTAGJFIRULLAH. 😳😳😳
2026-11-09 16:25:50
1
user2667186615626
user2667186615626 :
A I
2026-11-09 17:29:40
1
jacksinhox
JAY JAH :
kuna makosa kumsifu maulidini
2026-11-09 16:27:04
2
shuheida
shuheida :
fungua hicho kitaaa
2026-11-10 16:11:07
0
amira.bint.kassim
Aisha Aisha n'a :
wapi mtume salallahu alayhi wasalam amefanya maulid ? ma suffi daaah
2026-11-10 04:26:51
0
arbii340
Bwaaz :
Hayo ni yako wewe kwa Mtizamo wako
2026-11-10 04:21:34
0
abdullahimwasaria
abdullahi mwasaria :
🥰🥰🥰
2026-11-10 14:17:03
0
To see more videos from user @abdulqadirmasuo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About