@roddyricch226: daaah dogo kama huyu ana hustle 🫡💪💪#maishayamtaani #makambako #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #viral....😥😢🫡💪

Roddy De Brighter
Roddy De Brighter
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 15:40:52 GMT
19723
1145
101
48

Music

Download

Comments

ezekielevarist355
Ezekiel Evarist :
punguza saut ya beat tuskie anachomisema
2026-11-10 07:46:57
1
victorkalimwaya
KM brand@$V :
focus +vision+effort+strong decision
2026-11-10 07:54:11
1
deondasi
deo :
yaaaani mpka machozi yamenitoka
2026-11-10 07:58:20
2
salma.juma539
Salma juma :
kwani huyu mwandishi vituo vya kulelea watoto havioni amuunganishe huyo mtoto mm nmemwelewa maana hata mm yalinisibu kama haya kabisa mpaka nikaamua kuolewa katika umri mdogo kwasababu ya mateso ya wazazi taaani nimemuhurumia kabisaa alafu mama zetu wakishaolewa na mababa wengine wanakuwa hawana kauli juu ya watoto waoo huwezi kumwelewa kama ujapitiaaa inaumiza sanaaa
2026-11-10 04:11:47
6
magdalenanyuki
Maggie_💞 :
mungu tulindie watoto wetu Mimi kama mama ninajua unacho kipitia mwanamke mwenzangu😭😭😭😭
2026-11-10 05:32:22
2
njelekela2026
𝗡𝗝𝗘𝗟𝗘𝗞𝗘𝗟𝗔 :
DOGO AKIJA KUWA NA MTOTO ATAWAELEWA WAZAZI WAKE 😭.
2026-11-10 08:13:55
2
john.mgeta5
John Mgeta :
Daaaa😭😭😭😭
2026-11-11 04:33:50
1
reginaarony223
rebee@@ :
Dada ake kafanyaje
2026-11-10 09:24:24
1
ovamasjaphet1234
ovamas japhet :
hatareeee iyo
2026-11-09 21:14:55
1
ester.lohumbo.1
Ester lohumbo 1🇹🇿 :
Jamn samahn dogo hana simu natamani nimsaidie hata kidogo nampataje
2026-11-10 05:42:52
2
kalolina.mkali0
kalolina mkali :
Inaumiza sana
2026-11-10 07:23:12
1
glady.msangi6
G U. 💎💎💵 :
Muachen hatak kurud vile watu niwakatili mnafos arud muachen mtt afanye anacho jisikia kachoka
2026-11-10 04:52:42
1
natashamohamed868
Natasha Mohamedy :
mbk nimelia jamn mungu tupe maisha marefu nimlee mwanangu na wanaonitegemea
2026-11-10 06:59:34
1
dasenatz.28
Dasenatz.28💕mrs🦋💎 :
daaah! kuna watoto wanauchungu na maishaa jamniii 😭😭😭
2026-11-10 05:43:19
1
husnaramadhan456
husnaramadhan456 :
😭😭😭😭😭inauma sana
2026-11-10 04:52:06
1
fetty00134
fetty001 :
daaa
2026-11-10 04:10:16
1
mommy34770
mommy :
😭😭😭
2026-11-10 08:26:22
1
lugano.hans
Lugano Hans :
Kama mtu anataka hata kumtumia hata hela huyo dogo . Utaratibu unakuwaje ?
2026-11-10 19:58:47
2
real_millangtone666
𝑴𝑰𝑳𝑳𝑨𝑵 𝑮' 𝑻𝑶𝑵𝑬.🔱🐍 :
Daaaah nikajua nipo mwenyew tu🥹😭😭😭😭🥹🥹
2026-11-10 05:48:51
1
debby9370
Debby😇 :
amen 🙏
2026-11-09 19:54:19
1
meshack.mgala
Meshack Mgala :
inaumiza San tulio pitia ayo maisha tunajua maumivu yake
2026-11-10 08:13:03
1
edward.makula
EDWARD MAKULA :
inahuzunisha sana
2026-11-10 04:01:58
1
dkenzo005
bonyelo de la Cruz :
maamuzi magumu
2026-11-10 03:36:18
1
japhejaphet1
japhe japhet :
mungu afunguwe funguwa liziki za huyu dodo
2026-11-09 21:51:45
1
getruda.patrick0
getruda patrick :
amen
2026-11-10 04:28:27
1
To see more videos from user @roddyricch226, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About