Denis mm nimecheza nae nangunde fc ya nachingwea mkoani lindi kwenye ndondo alikuwepo na hashum many manyanya nyenye na majagi midifred aliku mwamba mmoja anaitwa oziambo fundi atali
2026-11-10 17:57:02
5
Psychologist :
Dennis nkane katoka sniper akaenda kucheza ligi daraja la pili na matekwe united ya njombe alivyomaliza ligi akarudi buza ndo akachukuliwa na mangalo.
2026-11-10 10:08:01
4
HALAKEYE 🇹🇿 :
IDDY NADO katoka ndondo ya Shaffi Dauda Moja kwa moja AZAM, na timu ya TAIFA
vijana tusikate tamaa ktk maisha tupambane
2026-11-10 06:07:28
1
COMPOSURE ⛩️. :
Deogratius Judica Mafiye mtu mnoma sana 🔥
2026-11-11 14:34:28
2
aziz mwemapia :
ww humjui denis nkane😁😁😁
2026-11-11 10:48:13
1
E-Sir :
Labda kama kumbukumbu zangu hazipo vizuri ila Nkane amewai kucheza daraja la kwanza Market United ya Njombe
2026-11-09 21:09:28
3
ben 10 :
boi boi mkali
2026-11-09 17:31:33
6
T.max :
novatus dismas umemsahau
2026-11-11 14:59:37
0
Mr madeson10 :
naitwa magembe ni muuzaji wa mahardware
2026-11-10 18:29:38
1
Herry Ignasy39 :
Denis ameshakuja adi Njombe Makete
2026-11-10 12:56:36
0
yAsha Hashim :
Tuweke kumbukumbu vizuri kabla ya wachambuzi kizazi kipya na azam tv kuja na kuwa wachambuzi huyu ndo boi boi mkali underground King kwenye kiwanda cha uchambuzi
2026-11-10 04:52:37
3
LAPULGA ALLY :
𝗸𝘄𝗮𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗮 𝗸𝗮𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗸𝘂𝗸𝘂𝗯𝗮𝗹 𝘀𝗮𝗻𝗮
2026-11-09 19:59:37
4
Djkichuya :
Biashara wamemtoa Kipagalo nilikua nacheza nae Ndondo
2026-11-10 07:57:46
2
kigumitz :
kaka sio pw
2026-11-10 19:00:12
2
Sadiki Sekuba :
daah umenikumbusha mbali wanangu wa buza awo mlete na dotto sela simba qeen buza iyoo
2026-11-10 19:29:55
1
yAsha Hashim :
Tumaweka kumbu kumbu vizuri huyu na ahmedy ally afisa habari wa simba ndo waanzilishi wa kwanza kufanya kipindi cha michezo asubuhi tanzania sio segment ya michezo kwenye kipindi ni kipindi rasmi
2026-11-10 04:56:29
1
Ray Ben :
Kak naomba moja ya Juma Ramadhan Mgunda itakuwa kwa heshima snaaaaah
2026-11-09 20:43:36
2
03legs :
ushauri, unatoa history ya mtu kwa. mfano nkane. lkn. unahusisha watu. wengi. sana paka unapoteza kusudio
2026-11-10 17:39:25
1
Athu Chipolopolo :
unajua
2026-11-10 04:53:12
1
FIRST BORN :
nilikwepo uwanjani sikuiyo goli lakwanza alifunga atupele green na judika mafie
2026-11-10 14:36:08
1
Seleman Bilal :
umeongea ukwl mtupu yan ww ipo hvyo
2026-11-10 07:27:01
1
Raheem HamzaTz :
Mwanangu we unalijua soka Nipe ya ally shomari
2026-11-09 22:16:40
1
Dida maliganya :
umetisha sana😃😃
2026-11-09 20:19:25
1
To see more videos from user @boiboimkali, please go to the Tikwm
homepage.