@wasafifmredioupdate: O.B.O @davido ameonesha ofisi yake mpya iliyopo katika makao makuu ya kampuni ya baba yake litwayo 'Pacific Holdings', Huko Lagos, Nigeria. Davido Ame-Share Video Hiyo Fupi kupitia IG Story Yake Akiwa Na Timu Yake. Fahamu Kuwa Pacific Holdings ni kampuni ya familia ya Adeleke inayojihusisha na biashara mbalimbali, ikiwemo nishati na uzalishaji wa umeme, kilimo, majengo na shughuli nyingine za kibiashara. Davido ana nafasi katika kampuni hiyo kama sehemu ya uongozi wa biashara ya familia. :#TRIGGAH (Cofficialtriggah) #TheWorldIsWatching #WasafiDigital

WASAFI FM
WASAFI FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 17:03:42 GMT
33352
1729
5
3

Music

Download

Comments

radjabu720gmail.co
[email protected] 🇨🇩💫 :
umesikiya david pesa ambazo anazo sema kanunuwa kofiya iyo
2026-11-11 07:50:49
0
ignasilewawo
Ignasi Lewawo :
ukiona wakubwa wamekutana ujue kuna jambo kubwa wakuuu
2026-11-10 17:23:22
0
o.b.o_max
O.b.O_-_ max :
obo
2026-11-10 14:27:57
0
goodluckmuna
Gee_MAVAZI…👽 :
Gee_mavazi nauza nguo zakike kigamboni 😂
2026-11-12 06:51:30
0
tarqkendryq
tarq.kendrq## :
🔥🔥🔥
2026-11-10 08:38:54
1
To see more videos from user @wasafifmredioupdate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About