Hii ngoma ilinifanya niogope ngono 🥹😥 siamin sai bado niko bikra🫣😂😂
2026-11-10 09:53:40
5
kenaolo :
Feruz ....
napenda kiswalihili ya wqbongo ...loved this song and tge frustrating part was that technology was not this up , u couldnt find it n load it with ease like today
2026-11-10 09:39:22
1
Vodoo :
saa mbili is literally 2😂
2026-11-10 12:14:13
2
King’endile :
Huu wimbo unirudisha default settings
2026-11-09 22:08:30
6
user28620545483213 :
zamani walitumia akili sana kutunga nyimbo,,, sahv Sasa utasikia mtoto kasimama🎵🎶🎵🎵🎶
2026-11-10 06:06:49
13
QueensAisha ♥️ :
hii ngoma ili hit sanaa☺️
2026-11-09 19:14:11
17
young beka :
bado hii Ngoma kali
2026-11-09 19:38:17
13
SNIZER SNIZER254 :
c utoke remix bro hii Ngoma nayo ilitesa weee
2026-11-10 07:36:22
3
dorie ♥️ :
kioo cha jamii 📌📌
2026-11-09 17:45:57
6
Robb mchiwa :
feroz nisamehee nilikuwa naimba saa kumi na mbili nadamka na madem wawili kumbe appointment
2026-11-10 03:18:39
11
twende_safari_with_mbasha :
Those days 2005 🔥
2026-11-10 07:19:44
2
user9051816861047 :
kaka iyo ngoma ungejalibu kuifanyia limix atali iyo ngoma ya taifa
2026-11-10 14:03:27
1
Gift🎁official :
ulipotelea wap jaman nimekumic kukusikia
2026-11-09 18:32:40
8
Tumu Abdallah :
Noumaaaaaa🥰🥰🥰
2026-11-09 19:43:14
8
galigano :
au siyo
2026-11-09 17:22:56
6
jacksimba :
apo kwenye jack sasa 😂
2026-11-09 23:45:33
4
HEMED @NTV :
Goma lilitisha hili🔥🔥
2026-11-09 20:40:48
5
calvin615 :
Mina na Semeni 🤣🤣 tuliokua tunaimba kivingine
2026-11-09 19:46:48
6
elivafondo :
goma lilitisha sana🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-09 22:09:03
3
Olonde Clichy :
kama uliskia hii ngoma kitambo at least unafaa kuwa na watoto wawili sai
2026-11-10 06:19:56
5
wuz good :
mashairi ambay yanaish na yataendelea kuishi
2026-11-10 14:37:34
2
malemula john :
aiseee nagopaga sana
2026-11-09 19:49:59
4
Zam Ol Katongo :
hii wimbo ilikuwa inaniweka baridi hizo enzi!😂😂😂
2026-11-10 06:35:39
5
To see more videos from user @dee_bongolyrics, please go to the Tikwm
homepage.