@jambotv_:

Jambo TV
Jambo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 17:34:22 GMT
44815
1237
194
67

Music

Download

Comments

wabhanhu
MP@wabhanhu :
Nimejua kwanini Peter Madeleka alimfukuza nyumbani shemeji yake baada ya shemeji yake kuwa wakili wa serikali.
2026-11-09 17:58:16
85
sultanbachi
sultan :
mbona kama mbeya haina mwanjelwa?
2026-11-09 18:47:29
17
user26623780195
Japo :
kumbe msimamo wake siyo taaluma
2026-11-09 18:19:28
25
king.p258
King P :
wakili anasimamia nsimamo na sio taaluma hii hatari
2026-11-10 05:40:49
11
ramadhaniisdori
ramadhaniisdori :
element ya pikipiki au?
2026-11-09 18:30:25
14
tkmru6ocz8v0si
elizabeth :
hii ndio Tanzania 🇹🇿 wakili haangalii sheria anaangali msimamo wke😂😂
2026-11-10 10:31:37
4
g_electricmobility
G_electricmobility :
Vilaza ni wengi sanaaaaa
2026-11-09 18:40:56
15
qis59916
qis :
Hakuna mwanasheria hapo😭😭😭
2026-11-09 18:40:53
13
dicksonkingofphilosophy
Dicksonking of philosophy :
mbn anachekacheka
2026-11-09 21:41:44
6
user8450294040401
nicolaus :
sio makosa yake anahofia usalama wake jamani
2026-11-10 08:30:46
2
jose.tsino1
jose Tsino :
huyu ana elewa ila ananacho hofia kusema ukweli
2026-11-09 19:27:53
7
nyakabingo666
William's :
kwanini hakuepo kibatala hapo
2026-11-10 00:05:42
3
mr.challenge78
mr challenge :
kinazunguka sijui nacho kimekuja na maelekezo
2026-11-09 18:16:13
19
ediltrudacamil2
ediltrudacamil :
kama wataalamu wako hivi je,wananchi wa kawaida watakuwaje ?
2026-11-09 19:35:35
11
ufunuomulen1386632733078
miracle ✨ desso :
brother mi darasa Saba kosa uhaini Haina kosa dogogo🤣🤣
2026-11-09 17:39:21
8
dullymo
Abdul :
Msiwe mnaita watu wajinga ktk kipind mta haribu kipind chenu
2026-11-09 18:39:23
9
leather_shoestz
leather_shoestz :
ndo aina ya wanasheria tulia nao serikalini just imengine
2026-11-10 11:22:11
1
michaelmadirisha02
Dr michael. :
Ahaaa kumbe TAL kahukumiwa kwa msimamo wa mtu?
2026-11-09 18:31:01
5
sabuni_jr
sabuni_jr :
Huyu wakili msomi kanichekesha sana hapo tu ushajua yupo upande gani
2026-11-10 11:10:16
1
user2948624088862
Dr. Pendeza :
nahisi hapo kahama siyo ya Tanzania
2026-11-09 18:54:25
4
mfinanga747
mfinanga1990 :
Mhhhhh,,, Moshi siyo Kilimanjaro
2026-11-09 19:32:16
4
humorousprofundity
Thinklaugh :
Msimamo? Au hoja?
2026-11-09 19:09:43
3
.binaam
Binaam😎 :
Vilazaaa ni wengiiiiiii sananaaaa tz
2026-11-10 02:37:03
1
unclebenny_12
Bensoul :
sijivuniiii taaluma ya nchi yangu
2026-11-10 06:00:56
1
tovelikibumu.chau
Tovelikibumu Chauganga :
Jibu swali
2026-11-09 23:34:12
1
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About