sio kweli nimekaa nao miaka 5 mpaka nimepata kwangu bila ya migogoro
2026-11-09 19:20:36
37
Ayal513 :
kwl nilishia kurudi kwetu hata mwaka haujafika mh hamusina😏
2026-11-10 03:25:07
7
pacome :
fikra potovu hizo sio kila wakwe wakorofi tumekaa na wazee wetu miaka nenda na kurudi na wake zetu wamewatumikia wazazi wetu kwa shida na raha usiwatie watu roho mbaya
2026-11-09 20:06:51
15
user5881348462192 :
Usiwatie watu roho mbaya tushakaa nao zaidi ya miaka 8 na hakukuwa na shida yoyote na watoto wangu wakapata upendo mzur tu nashkuru
2026-11-09 19:31:00
22
mamythreeN :
na hili group langu la damu siwez kaa na mtu
2026-11-09 19:33:09
11
ummy khalila :
tuulizeni ss tuliowaho kukaa na wakwe sito sahau maisha yangu
2026-11-10 02:01:26
11
kinana :
swadakta sheikh,bora nikodi ata chumba kimoja&ukumbi.kuliko kwenda kumtia matatizoni mtoto wa watu...
2026-11-09 18:46:48
21
Abdul wahid :
Acha kupotosha wenzio
2026-11-09 20:07:43
3
Maher duli :
ipo ivi usipokua makin huku tiktok utapotea maan so binaadam wote wana roho mbay na so wote ni wazur ikitokea fursa usipotez kw vijineno vya mitandaon kubw ni kuomba mung familiar utoingia iwe na maadili mazur t🥰🥰🥰🥰
2026-11-10 04:48:47
1
Mama j :
So kweli bhana weweee
2026-11-10 08:13:27
1
bhena :
ni mwanamme wa kwanza kukubali huu ukweli
2026-11-09 20:06:15
14
zainab :
hiii imeendaa
2026-11-10 01:57:41
0
Cookie lion🥰 :
Sa itakuaje 😂
2026-11-10 07:14:42
0
Mr Mbega :
Watapinga ila huo ndo ukweli nyumba haikai nyumba fact 💯
2026-11-10 03:10:35
5
raml008 :
mm nimekaa nao kwa miaka 26. nimishi nao vizur tu
2026-11-09 19:28:38
10
💕wabal💕 :
nimejitunza mpaka Sasa allhamdullah utakae niowa atakama kwenu Kuna gorofa gani usisubutu kuniweka kwenu
2026-11-10 03:35:15
0
A-yman…🦋 :
Nimeishia ujane 🥺
2026-11-09 18:45:08
7
offline🫰 :
hili ni kwel n nna ushahid nalo jmn 🥺🥺
2026-11-09 18:54:04
8
nuwayrat :
mwalimu wngu🤣 alf mie niolewe nikae Kwa wakwe siwahi😂
2026-11-10 03:54:11
0
yussufbucha :
wazee wetu mbona alikuwa wakikaa kwao kwann sisi tusiweze
2026-11-10 03:06:52
0
Hashim Mwinyi :
dr ynakutoka tu
2026-11-10 03:52:16
0
khaleedmuhammad62 :
Wahenga wanasema nyumba haikai nyumba
2026-11-09 22:21:06
2
Naa og baby :
kweli kweli maana nayaona mimi
2026-11-10 04:36:09
1
To see more videos from user @dr.sule23, please go to the Tikwm
homepage.