@vhy0008: Inshaallah Immanuel utatoboa 🙏kikubwa upambane Usiibe

VHY-08
VHY-08
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 18:12:54 GMT
62034
3992
109
141

Music

Download

Comments

lu.nya.g23
G.O.A.T🐐 :
hawezi kutoboa bila balaka za wazazi
2026-11-09 20:06:34
28
user6382510537281dadad
Dada D. :
et nikirudi mtaniuwa tena 😂 kwahiyo kumbe ulifaliki 🤣 ila daaaaah 😥
2026-11-09 20:28:07
11
yuzzobrizz2
𝐘𝐔𝐙𝐙𝐎,,,@🥷𝐁𝐑𝐈𝐙𝐙 🔥 :
ambao atujui kinachoendelea tujuane😳😳😳
2026-11-09 20:48:52
7
beatricedaniel50
Aiem🔷beatrice🎀🦋 :
naliaa jaman najua hii situation[Crying][Crying]
2026-11-09 19:52:01
0
user4227013061167
💫Vee nice 🦋 :
Allah akulinde mwaya kweny safr ya maixh yako
2026-11-09 20:59:34
2
breezy62691
breezy :
mama ni mama ima please 🙏 😭
2026-11-09 20:45:20
0
mam.b963
Hilda Chamgenzi💕💕 :
mmmh tungejuw tunabeba mimba myez 9 ili watot watukatae hiv mbele zawatu ila duu
2026-11-09 19:29:06
5
subirankwama
sub 🥰🥰🥰 :
nimejikuta naliya kaongea kwauchungu daaa
2026-11-09 20:48:20
3
ukty.nahya
Ukty Nahya :
Allah anusuru vizazi vyetu maana huo ni mtihani tunabeba mimba miez tisa halafu baadae dahh Allah anusuru vizaz vyetu Inshaallah 🤲
2026-11-09 20:31:03
1
nomoneynorespect39
side business💰💰💵 :
respect
2026-11-09 20:42:07
0
www.fainesssanga
[email protected] :
BARAKA NI KWA MUNGU TU NENDA MDOGO WANG USIKUBALI KURUDI NYUMA MUNGU AKUTANGULIE😥😥
2026-11-09 20:36:51
3
irene.tadei
Irene Tadei :
najikut nalia
2026-11-09 20:08:10
5
digara17
digara17 🔗💥 :
uyu ndiyo mwanaume mwenzangu sasa dog kakaza safi💪💪💪
2026-11-09 20:44:38
2
abdulwadhifabdall
Abdulwadhif Abdalla :
mtoto hawezi kumkataa mama ake mchana kweupe na kumwambia maneno makali kama hayo Mimi nahisi Pana jambo KUBWA sana hapo ila kwakuwa kasema mtoto tunachukulia vilevile kitoto. ila sikiliza,angalia Kwa mazingatio.
2026-11-09 21:00:56
0
official_isha05
Official_isha :
et fyoko fyoko mwanangu daaaaa mungu nipe kizazi Bora kinictiri
2026-11-09 20:39:19
0
rahelimfugale
Rachel wa sillah 🥰 :
ad nimelia mim😢
2026-11-09 20:22:58
2
gubadi.sulende7
Gubadi💎🇹🇿🇹🇿🇰🇪 :
anatoboa tena vizur2
2026-11-09 21:07:03
1
emmympogole231
emmy mpogole :
duuuih usiseme fyoko fyokoo na mzaz wako jamaniiii mama nimama2 ipo sku utamkumbuka hat kama kakukosea dear japo inaumaa ilaaa hez fanikiwa bila baraka za wazaziii
2026-11-09 20:01:30
0
kevootz58
kevoo@tz :
Hakuna laana hapooo dogo akapambane na Mungu atamlinda tu
2026-11-09 20:47:56
2
user9502611497595
#🔥dully-$master⚒️ :
dogo langu tulia mama ni mama😂
2026-11-09 20:50:47
2
fadhili.tayateya
Fadhili Tayateya :
dogo yupo sahihi asiridi kikubwa asiibe
2026-11-09 20:58:11
1
mrfurniture18
MR FURNITURE UYOLE :
watoto wa kiume tumebarikiwa sana akil
2026-11-09 20:10:06
2
tembasclassicfash
TembasClassicWear :
dgo anauchungu xna wamemtesa xna bola asirudi tu ajipambanie tu
2026-11-09 20:37:07
1
cattie062
💦cattie💜😻 :
najikut nalia jaman😭😭
2026-11-09 19:29:30
2
neyrah7316
neema# :
pole adi nmlia jmn
2026-11-09 20:22:31
1
To see more videos from user @vhy0008, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About