@taanzanite: Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa. Tusikubali Heche akawa demoralized. Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa. Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..#tanzaniatiktok🇹🇿 #foryoupage #viral_video

Tanzanite
Tanzanite
Open In TikTok:
Region: GB
Monday 09 November 2026 18:17:51 GMT
9238
503
38
17

Music

Download

Comments

matungee
matungee :
Dada upo making sana na tunakupongeza zaidi kwa kuendelea kutupa tarifa ya kila uonevu unaoendelea
2026-11-09 20:08:32
5
bantubantu001
Bantu🖤 :
Same here dada yetu
2026-11-09 18:39:41
6
mlawa015
Reymlawa :
upo sahihi san dada etu
2026-11-09 19:40:07
7
naisho96
Prestige :
Heche wetu Mungu yu nawe Daima
2026-11-09 20:02:54
6
josephathmbwilo5
Josephmodoks :
nakupenda sana dad watafa mana umekuwa ukitujuza mambo mengi sanaaa ninapokupenda zaid kuwa mkweli wew hakika nimkweli mnoooo ubalikiwe sana
2026-11-09 19:52:40
5
user466630915869
@ :
dada katika hili nimekwamini sana
2026-11-09 20:05:39
3
rocca0935
rocca :
tupo pamoja
2026-11-09 19:21:13
4
wilbroadnyarusand
wilbroadnyarusand :
uko sahihi dada ila ipo siku tutashinda
2026-11-09 19:19:54
3
mkodomi48
mkodomi :
tuko pamoja
2026-11-09 19:24:35
4
misalaba28
misalaba :
yes dada ake
2026-11-09 19:04:37
4
ashay8896
ashay :
nakuelewa sana
2026-11-09 19:26:35
4
ngalalumba1
Boy Man :
huo ndio ukweli
2026-11-09 18:52:30
3
user4812972536127
rashid :
dio safi sana dada
2026-11-09 19:18:31
2
user4071054939101
Dada :
love you dear
2026-11-09 19:05:17
0
shamsaismaill
shamsaismaill :
wapare jamani🥰🥰🥰
2026-11-09 19:00:54
1
meli70362
Meli :
I salute you. Mungu wetu ni mwaminifu
2026-11-09 20:21:30
0
husein.bob
husein bob :
Sawa dada
2026-11-09 19:04:37
1
user9510671430518
user9510671430518 :
kweli dada
2026-11-09 20:23:14
0
mujitaba.mickidad
Mujitaba Mickidady :
natamani nikusikilize mpaka asubuhi
2026-11-09 20:02:09
4
vision_4h5
vision_0022 :
Dada hajawahi kupindisha sisi wananchi tu ndo hatuamki
2026-11-09 20:11:41
4
dudu.baya54
dudu baya :
dah
2026-11-09 20:14:29
0
abbyake
Abbyake :
Imeisha hiyo
2026-11-09 20:27:07
0
user6132497851453
user6132497851453 :
lema ni muongo tangu zamani, lema alisharidi nyuma kitambo Sana.
2026-11-09 20:25:18
0
nichorausrichard
Nichoraus Richard :
umenyookaa kama rulaa bi mdadaa🔥♥️
2026-11-09 20:45:41
0
mujitaba.mickidad
Mujitaba Mickidady :
hivi kwanini wananchi wote tusiwe namawazo kamahaya?
2026-11-09 20:00:20
0
To see more videos from user @taanzanite, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About