@tufeil.bin.amr.da:

TUFEIL BIN AMR DAUS
TUFEIL BIN AMR DAUS
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 19:15:54 GMT
8773
456
17
118

Music

Download

Comments

nuwaruubusiness
nuwaruubusiness :
mm uchmi umeyumba kwa mumewangu ila saiv nimemjua yye upande wapili
2026-11-10 03:28:38
3
awadhrecoda
Awadh Recoda :
Mbona akiwa kwao haangalii uchumi
2026-11-10 02:41:46
2
99mydear
mydear😍 :
🤣🤣🤣 uchumi ukiyumba mi namjuwa mume wang aniskilza anakuwa karbu na mie anapenda nshaur ananipa mda wake n.k mpaka najuwa apa nmepata mume [Tears of joy]
2026-11-10 05:50:37
1
ummimaryammohd
MAMA GIRLS COLLECTIONS :
Mimi nimemjua upande wake WA pili baada ya kupata hela saaleku nakoma
2026-11-10 05:43:08
0
amoura_as122
잔ㄴ지발 :
kweli kabisa ila mama yangu nampenda baba alikua ana uchumi mzuri sana mashallah ila aliposhuka Wallah hajalalamikapo
2026-11-10 04:16:19
0
m.sm541
M.sm :
Sadakta🤝🤝
2026-11-10 05:38:53
0
amaniwepo
khswir98 :
atanawao wakipata kipata utawajua upande wao wapili
2026-11-10 05:12:01
0
mirhally
Ayshahmaah @ :
ongezeni bidii awake na hawara ndoa itatulia na pesa zitakuwa nyingi👌🏼
2026-11-10 05:25:53
0
7last_born
7last_born :
am not with about money... Tabia yake inamatter akiwa au akikosa
2026-11-10 04:17:25
0
xoxonig1
A-xoxoni,,,G.£ackdor :
sahihi kabisa
2026-11-10 03:14:31
0
ramadhan.amiri58
Ramadhan Amiri :
2026-11-10 06:00:40
0
brown_suger278
THE FIRST LADY :
Shekha migogoro ktk ndoa pia ni mume akiwa fukara au maskini mke atvumilia lkn uchumi ukipanda na utajiri mume atbdilika aona mke wake hafai atafute wapya
2026-11-09 21:02:34
3
ummusalama57
Salama Juma :
Hiyo ya kwanza ni Asilimia 20 Tena huyo Mke anakua Sio Tani yako ndio Yatakukuta
2026-11-10 03:56:17
1
sumranmamad8
sumranmamad8 :
umesahsu la tatu mume skipata pia utamjua tabia zake
2026-11-09 20:56:27
1
awadhrecoda
Awadh Recoda :
Wana wake afadhali kua unahawara kuliko askie umeowa
2026-11-10 02:42:58
0
userhazkitchen
usehazkitchen :
jmn minho wao wakipta mali ndo wanbadilika
2026-11-10 05:35:42
0
adamu26066
adamu :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-10 03:59:21
0
abdulmakwangu277
Abdul Makwangu :
ilo ndio la msingi
2026-11-10 06:34:17
0
To see more videos from user @tufeil.bin.amr.da, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About