kwa ufupi usimwambie mtu ndoto yeyote hata walimu ni wabaya kuna mwalimu aliniambia nyota yako mzuri ukiota kitu chawa kweli wallahi sahii natamani kuota ndoto zasahi ni za asubuhi tena mbaya hata si zielewi walimu wenyewe wabaya musiambie yeyote
2026-11-10 04:12:41
19
Asef Kenf :
Hiyo ya sule me ndio naiota kila siku kazi nafanya ila sijui xendapi hizo pesa
2026-11-11 07:19:41
1
nazmin :
Allah atunusuru
2026-11-09 20:58:41
5
25072000rani :
hio ya viatu Mimi huota sana lakini Huwa sikubali nitahakikisha na Mimi nimechukuwa vya mtu hata ikiwa napata kiatu kimoja nitakivaa
2026-11-17 09:34:45
1
Nasra Yateri :
je ukimuotea mtu unaemjua kua anashonewa nguo je?
2026-11-17 14:06:46
1
sham98 :
Mimi naota sana naokota pesa au nakuta nguo njian naziokota lakini ni nzur sana izo nguo mara nyingi hua ni pembeni mwa mto kwenye mti nakuta begi nachukua nguo zamtoto au zamkubwa
2026-11-12 16:22:08
2
sally :
naota sana nipo kwenye nyumba yangu ila nikitoka nje tu nasaau nyumba yangu ata kama chumba sikumbukini wapi
2026-11-18 05:37:11
1
user3757954016283 :
ostaz mm niliota mwanangu amezama bahalini je inamainisha nini
2026-11-11 09:38:57
3
Pretty nury :
uwe unatuambia na maana zake
2026-11-18 19:36:38
1
zawawa🌸 :
naomba utuandikie hii Dua kiswahili
2026-11-10 06:04:01
1
humyra :
zitafsiri tujui maana yake
2026-11-12 08:48:14
2
fashaa 😍😍 :
nahii ukiota umerud shule unafanya mtihan naomba unisadie
2026-11-19 09:37:43
1
@Rey phiner :
mm kukaa kimya ndo siwezi jmn
2026-11-19 22:44:29
1
threen :
sema na maana zake
2026-11-17 07:36:30
1
haulati99 :
Allah atunusuru
2026-11-10 13:39:01
1
shazmaa :
nashkuru sana shehe
2026-11-18 09:48:08
1
Najma bby :
maana ya ndoto izo
2026-11-10 07:00:43
1
Zainab Paso :
Asante
2026-11-09 21:49:09
1
lady'pandora💯 :
Me sheghe mbona sioti chochote kile nalal nakuamka bila ndoto jmn au nasahau🥺
2026-11-18 17:21:06
0
Resh supa :
samahani ukiota umerudi shule umepita mtihani lakini hukumbuki kama umefanya mtihani nikama kunamutu amekufanyia mutihani na akaandika njina lako hii unamaanisha nini samahani naomba kujua
2026-11-21 13:38:01
0
Mariamu_Jamal :
allah abarik
2026-11-21 07:24:24
0
Jamila Babu :
mbona watutisha jamani
2026-11-20 08:24:25
0
mtewele@stm faniture :
nimeota nimembeba mtoto siwang alafu Wang nimemshik mkon alafu ghafla mtoto wangu alitumbukia kwenye mto hii inamaana gani
2026-11-20 06:36:17
0
mtewele@stm faniture :
minimeot jana nimemwambia t mumewangu
2026-11-20 06:34:37
0
Sabra Chabu :
Asantee
2026-11-09 21:29:34
0
To see more videos from user @shehk.bacup, please go to the Tikwm
homepage.