@ali_wisdom: Ninamkumbuka mtu ambaye bado yupo karibu nami, lakini kwa namna fulani nahisi nimempoteza. Namkumbuka yule wa zamani; jinsi alivyokuwa akinijali, alivyonipenda kwa dhati na jinsi alivyokuwa na shauku ya kuwa nami. Natamani ningekutana tena na yule mtu, hata kwa dakika moja, ili nijisikie tena jinsi nilivyokuwa nikijisikia zamani. Maana inauma sana kuwa na mtu yuleyule, lakini ukakosa upendo uleule uliokufanya umpende. 💔 #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 20:24:47 GMT
36360
1650
46
181

Music

Download

Comments

abduldeemaestrol
Abdoul Dee Maestrol :
This is my current situation
2026-11-10 05:21:26
3
alwatanchui
Al Watan Chui :
Mapenzi ni kitu kizuri unapoyaepuka na kuyatazama ukiwa mbali
2026-11-13 04:35:48
229
alafasulei
Alafasulei :
nakushukuru mola wangu wewe uliyemleta na kisha ukamuondoa sina la kusema
2026-11-12 19:11:41
4
princedhk1
princedhk1 :
watu wanabadirika na zaid makosa hawayafany kuw ni sehem ya ukamilifu wa uumbwaji wa binaadam wao uhukum bil kujali unahitaj nn na umempa nafasi gan kwake #welive #welove #welie 🙏🙏
2026-11-09 23:16:10
3
sabbywest_255
Be..west✨🇬🇭 :
hii nyimbo inaitwaje vile ya kizungu dah Leo nmeskia beat lake tu..jmn
2026-11-10 15:57:46
1
nuru.mkumba3
Nuru Mkumba :
kabisa upo na mtu ila uko mpweke ki mwili na kiroho
2026-11-11 18:57:17
1
user5178732403100
jonah mduma :
daaah wakt wa frh ulkuw bor ila maumiv ni sehm pia ya upndo MAPENZI ashiiiiiii
2026-11-11 17:26:59
1
just.tamila
just.tamila :
Kuna muda una bidi ukubali ili usonge mbele hata kama ni uchungu.coz hii ni dunia hakuna mkamilifu❤️🥰
2026-11-13 06:23:31
0
ramlaremmy
remmy :
alhamdullilah kwa Kila jambo 🤲
2026-11-13 14:46:34
0
user5433961448304
marry :
Alhamdulilah Alhamdulilah yote mema
2026-11-13 16:46:38
0
esterdeusi127
j love🥰 :
duh amekukumbuka pia na bd anakupenda sana na hauwezi kumpotezwa kirahisi hvy huyo ni wako tu hana mwingine sema maisha tu ipo cku mtakutana tu😭💔👋
2026-11-11 17:42:29
0
ms_aisha_2003
♥️🌸🧸عاءش :
kalba sijamaliza kusoma machozi yanitoka😭😭
2026-11-10 13:12:30
0
mlinah58
mlinah :
Stki Ata kumuona karibu yangu abaki uko uko marafiki wamembadirisha yni stki stki
2026-11-11 04:01:03
0
daughter_of_limit
Urdu🤭 :
wallah inauma sana 😥
2026-11-11 07:51:59
0
shamyaley
shamy🦋 :
2026-11-09 20:29:12
0
wondergirl661
MIS HUSNAH ❤️🌹👄🦋🦋 :
2026-11-10 03:26:55
0
mchomeanna
mchomeanna :
mtu anakusogeza karibu kwa upendo mkubwa alafu akishaona umeingia moja kwa moja kwake bac anarud nyuma anakuacha peke ako kwenye uwanja wa upendo🥹😰
2026-11-10 13:49:52
4
dacute203
Da cute 😍 :
2026-11-10 04:56:54
0
sophybabe0
🦋 soo🦋phi🦋year🦋 :
2026-11-09 21:41:06
0
rey.mdutch
Rey mdutch :
2026-11-10 08:26:36
0
rajayjangusho
official Raj :
wadada wanapitia makubwa 😁😁
2026-11-10 22:56:07
0
ummiffa3
🤍 :
💔
2026-11-11 20:30:20
0
chford.10
Chford 10 :
[Broken heart][Teary eyed]
2026-11-12 09:10:49
0
munamlali
muna :
😊
2026-11-09 20:32:54
0
user4230866512612
Briana j💕 :
😞😞😞
2026-11-15 10:55:00
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About