@joshuaengineer1: 🚀🔥 TANZANIA, WIFI KUNUNUA SASA NI RAHISI ZAIDI! 🇹🇿 Introducing BongoNet WiFi Machine 🪙📶 BongoNet Billing System inaleta ubunifu mpya wa kununua WiFi kwa kutumia sarafu! 📱 Unganisha simu kwenye WiFi 👉 Bonyeza INSERT COIN 🪙 Ingiza sarafu kwenye mashine 🌐 Furahia internet! Hakuna kutafuta muuzaji wa vocha. Teknolojia inarahisisha upatikanaji wa internet! 🔥 BongoNet – Smart WiFi. Smart Billing. Smart Payments. #BongoNet #WiFiMachine #WiFiVending #BongoNetBilling #TanzaniaTech

Joshua Gilbert Engineer
Joshua Gilbert Engineer
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 09 November 2026 21:19:53 GMT
12538
413
44
50

Music

Download

Comments

laduenterprises
Ladu Enterprises :
can it work with paper notes
2026-11-11 14:32:45
0
g7kidsfootballclub
George Investment Kilole :
Mna Tisha sana
2026-11-10 07:09:09
0
dr.brighton_tz
Tony walker :
how much
2026-11-11 16:57:07
0
thai_chan4
Thai_chan4 :
Old Technology hy
2026-11-10 21:09:05
2
nitocreative
Nito Creative :
Ubunifu mzuri sana.
2026-11-10 08:41:36
0
samudeclassic8
Master Stater :
bei gan
2026-11-10 07:51:00
0
user9875390962817
user9875390962817 :
habari toeni Maelezo kamili ya bidhaa sambamba na Huduma .
2026-11-10 08:40:16
0
fau_602
@fau_60 :
Bongonet. Tunajivunia kuwa na nyie Tanzania hapa
2026-11-10 04:21:58
1
user1816123saidiissapima
saidi issa pima :
shingap
2026-11-10 09:12:13
0
joseph.mashauri0
Joseph Mashauri :
bei gana
2026-11-10 05:52:54
0
bin.lugoda.oggy
Bin Lugoda Oggy :
bosi ni bei gani hii
2026-11-10 07:16:33
0
evraldy
djeddy_tz :
noma
2026-11-10 06:03:39
1
djconner
phone repair and accesories :
hiyo sh ngap
2026-11-10 09:17:35
0
badhuu_
BADHUU___🧢 :
duh watu hampoi
2026-11-10 00:04:32
0
kimwaeone
KIMWAE ONE ONION TRADERS DAR.. :
Bei gani
2026-11-10 08:42:52
0
bongo_net
Bongo Net. :
duh.. mi mwenyewe sijui kweli🤣🤣🤣
2026-11-10 12:14:30
0
the_spirit_thinker
THE SPIRIT THINKER :
sh ngapi
2026-11-10 09:40:42
0
someonepreciable
Yusuph :
Ni huku zinabondwa
2026-11-09 21:49:45
0
movie_verse277
🌟ROYAL🇹🇿 FURNITURE 🇹🇿TZ🌟 :
sasa niwekee nje sinaibiwa hiyo tafut mbinu nyingine
2026-11-11 07:20:22
0
godfather.hub
yoo :
kijana kuna haja gani ya kuficha bei ya kifaa?
2026-11-11 13:08:38
0
ishiinvestment
ishiinvestment :
singapi
2026-11-10 15:02:02
0
user8148501050475
Hucker :
kama zile mashine za wachina zilikua zinaibiwa je hiyo si itaibiwa
2026-11-10 13:37:14
0
kijukuuchaforexbackup
kijukuuu cha forex backup :
babaa ww bassii tenaa😂😂😂
2026-11-11 06:03:01
0
othmanmapunda1
NEW BRAND SAY MY :
we mkuu hii noma zaidi mkuuu
2026-11-10 09:36:52
0
dickson.4jesus
D-TECH :
kama pemben kunamtu kafungua wi-fi hawez kuwa na access
2026-11-10 10:33:46
0
To see more videos from user @joshuaengineer1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About