Kigogo hakuwa chadema..alikuwa hater wa Uncl na alikuwa anaaminika coz of his Deep intel
2026-11-10 08:38:44
13
@Canabino45 :
WATASUBIRI NIFE NDO WANISIFIE by magu
2026-11-10 05:56:21
14
Sawizzl26# :
Bro Unaongea Deep Sana So Sad.. 😭
2026-11-13 21:20:31
3
Great joseph :
bro good things never come twice
2026-11-10 00:16:12
8
north fac :
I remember my president's father of Tanzania the man who created happiness for a short time God forgive us and receive R.I.P JPM president of Tanzania 😌
2026-11-10 05:17:43
12
lit :
#mwamba, rest in peace😭, atakuja kutokea lkn itatuchukua miaka mingi sana
2026-11-13 20:34:26
1
Mwinyi kuga FX :
salute kwa anko magu
2026-11-13 23:14:06
1
gwakisa john :
ummetisha familia
2026-11-10 05:24:17
5
😇🫡🇹🇿Christmas🎄💪🛣🚎💯✍️ :
R.I.P too JPM 😢 😭 🥹
2026-11-11 15:03:17
4
Farm chickens :
wanakula asali ya nchi
2026-11-10 05:49:45
6
Machulephotographer1 :
atuta weza kumsahau kamwe aiseeh 😭😭
2026-11-10 05:21:39
6
Dampa Classic :
2026-11-10 21:58:50
2
Karebo Steven Mlawa :
ila umejihidi hujamtaja Lissu hapo ungeona hasira za watu
2026-11-10 16:36:35
3
⚠️Mudabbir🚨JR🚛🇹🇿🛣️🚦⛔🚥 :
point
2026-11-11 08:31:24
1
teeklazkitufu :
SALUTE kwa mtiririko wa Ukweli.Mtu Mbaya anakumnukwa kwa MEMA YAKE TU hakuna mwingine kama Jembe Pumzika Nguvuni JPM
2026-11-13 11:55:30
1
cianer wigs :
mabaya alikuwa nayo na ndiyo yametufikisha hapa
2026-11-13 18:03:46
0
Gaspary🔹 :
sure,, ni mazoea tu ya watu kupondea viongoz , rais anaweza kuingiza nchi katka vita kubwa tu ila still nchi ipo vizur mnapaswa kushukuru kuna amani ,ndio wanakosea ila nikuongeza umakini tu katka uchaguz ,siyo simple kuendesha wa milion 60
2026-11-10 21:01:55
1
💕 :
😭😭😭😭😭
2026-11-10 09:28:44
0
To see more videos from user @magufulism, please go to the Tikwm
homepage.