@swiiftiphonecenter: Unapiga picha kwa quality nzuri, unarekodi video safi, lakini ukituma WhatsApp zinafika zikiwa zimepungua ubora. Unajua tatizo linaanzia wapi? WhatsApp inaweza kubana picha na video unapozituma kama kawaida. Lakini kuna njia rahisi ya kutuma bila kupoteza quality yake. Katika post hii tumekuonyesha jinsi ya kutuma picha na video zako katika HD au kama Document ili zipokelewe katika ubora unaotakiwa. 📌 SAVE hii post, itakusaidia sana next time unaposhare picha au video muhimu. Na wewe umewahi kutuma picha nzuri halafu ikafika kwa mwenzako ikiwa blurry? 😂 #DearMenOfficial #WhatsAppTips #TechTips #SmartphoneTips #WhatsAppTricks