@womanclinic123: CHANGAMOTO 5 ZA UZAZI ZINAZOWEZA KUFANYA UPATE UGUMU WA KUPATA UJAUZITO! 🤰 Je, umekuwa ukijaribu kupata ujauzito kwa muda mrefu bila mafanikio? Kuna changamoto za kiafya zinazoweza kuathiri uwezo wa mwanamke kupata ujauzito. Changamoto hizo ni: PID Infection (maambukizi kwenye via vya uzazi). Kuziba kwa mirija ya uzazi (Blocked Fallopian Tubes). Hormonal Imbalance (kutokuwepo kwa uwiano wa homoni). Fibroids (uvimbe kwenye kizazi). Endometriosis. ❤️ Usikate tamaa. Changamoto hizi zinahitaji uchunguzi sahihi ili kujua chanzo na kupata matibabu yanayofaa. Je, umekuwa ukipitia changamoto ya kupata ujauzito? Tafuta ushauri wa daktari bingwa wa afya ya uzazi.#usa #usa🇺🇸 #usa🇺🇸 #usa🇺🇸 #