@lovialongtime:

Eva Lovia®
Eva Lovia®
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 10 November 2026 00:10:25 GMT
1870
125
0
9

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @lovialongtime, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

SIMBI Hii ndio Asili ya mtu mweusi wa kale aliyotumia kuufaidikia Ulimwengu. Mtu mweusi alitumia Simbi kujiimarisha ktk mambo mengi sanaaa. Alijinufaisha na simbi ktk mambo ya kiroho kumueka karibu na Asili yake kwa Ulinzi, Mvuto, Pia walitumia simbi ktk kujiponya maradhi mbalimbali. Japo ktk Ulimwengu tunaoishi sasa watu wameghafilishwa na kushindwa kuitumia Asili hii japo wana matatizo ambayo yangeweza kuondolewa na Simbi. Simbi zipo za aina mbili: * Simbi jike * Simbi dume Simbi dume zinakua kama hizo pichani na jike zinakua na uwazi kati. Katika aina hizi za simbi pia zipo ktk makundi makuu matatu ambayo yanatofautishwa kwa rangi. * Simbi nyeupe * Simbi za njano * Simbi za madoa madoa Leo nitawapa faida za simbi dume za rangi nyeupe. Kiroho Simbi hua zinavutia energy nzuri mwilini na kwenye makazi. Mvuto na kinga Unapovaa simbi hizi ni sehemu ya mvuto na kinga ni vizuri ukawa nayo mkononi. Au ktk nywele. Pia unaweza kuiweka ndani au sehemu umayohifadhia pesa ata ktk waleti. Pia ni vizuri kama utaiandaa kwa kuiweka ktk mchanganyiko wa mafuta ya bint sudan, Gift zanzibar na dawa za mvuto au kinga kulingana na kusudio lako. Kisha ukainenea maneno unayotaka nguvu yake iwe ktk upande huo kama kuinuizia kama kinga au mvuto. Baada ya kumaliza kuinenea itumbukize ktk mchanganyiko wa dawa zako iache humo kwa siku 3 au 7 kisha itoe kwa kuinenea kua simbi yako ina nguvu na inafanya kazi uliyoitaka ifanye. Kua karibu nayo kwa kuivaa au kuiweka karibu nawe. 1- Pia Simbi unaweza kuitumia kama kinga ya nyumba Apa upate simbi yako iweke mchanga wa bahari au ziwa na maji ya bahari au ziwa kisha ifunge kwa kitambaa cheupe na uifukie katikati ya makazi yako na kwenye pembe zote nne za makazi yako. - Mvuto na kuondoa nuksi na mikosi Tumia simbi zisage upate usila wake mweupe changanya na dawa za nyota, mtinginya, mwita, tumia kuogea na ukishaweka mchanganyiko huu kwenye ndoo ya maji ya kuogea weka chumvi ya mawe na Rose water. Ogea kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Unaweza kutumia usila wa simbi kujifukizia kuleta hali nzuri ya mwili na kuondoa energy mbaya. - Mvuto wa biashara pia kwa wale wenye changamoto hiyo 4 Simbi hizi pia zinaweza kutumika ktk kujitibu maradhi mbalimbali kama Kisukari, bawasiri, pumu, kifua na mengineyo apa ndio utajua ninaposema simbi ilibeba maana kamili ya watu weusi ktk asili. Yaani simbi ukiijua matumizi yake wew ni tajiri wa afya na uchumi. - Bawasiri Tumia ndimu kamulia ktk glass upate maji ya kutosha weka simbi 3 au zaidi ndani weka na madonge 7 ya chumvi ya mawe baada ya masaa 48. Utaanza kutumia kwa kujipaka eneo lilioathirika marabilo kwa siku asubuhi na mda wa kulsla jisafishe kabla ya kuanza tiba. AU Unaweza kuandaa usila wa simbi ukachanganya na mafuta ya nyonyo ukapaka sehemu yenye bawasiri mara mbili kwa siku. -Pumu Tumia ndimu kukamulia ndani ya glass weka simbi zako 4 weka ndani yake baada ya masaa 48 uwe unakunywa vijiko viwili au kimoja kwa watoto ila usimpe mtoto mchanga. Kutwa mara mbili. - Kisukari Tumia simbi 5 au zaidi weka ktk chombo chenye nafasi ya kutosha cha glass kamulia ndimu za kutosha subiri baada ya masaa 48. Anza kutumia kwa kunywa vijiko viwili asubuhi na jioni. -Kifua Kamulia ndimu ktk chombo cha glass weka simbi 3 na chumvi ya mawe punje 7 kisha subiri baada ya masaa 48 kunywa kijiko kimoja kutwa mara mbili. -Mtoto wa jicho Tumia usila wa simbi changanya na utomvu wa toto la ndizi. Tumia ktk jicho lenye tatizo fanya kupaka au kuweka mara mbili kwa siku. --
SIMBI Hii ndio Asili ya mtu mweusi wa kale aliyotumia kuufaidikia Ulimwengu. Mtu mweusi alitumia Simbi kujiimarisha ktk mambo mengi sanaaa. Alijinufaisha na simbi ktk mambo ya kiroho kumueka karibu na Asili yake kwa Ulinzi, Mvuto, Pia walitumia simbi ktk kujiponya maradhi mbalimbali. Japo ktk Ulimwengu tunaoishi sasa watu wameghafilishwa na kushindwa kuitumia Asili hii japo wana matatizo ambayo yangeweza kuondolewa na Simbi. Simbi zipo za aina mbili: * Simbi jike * Simbi dume Simbi dume zinakua kama hizo pichani na jike zinakua na uwazi kati. Katika aina hizi za simbi pia zipo ktk makundi makuu matatu ambayo yanatofautishwa kwa rangi. * Simbi nyeupe * Simbi za njano * Simbi za madoa madoa Leo nitawapa faida za simbi dume za rangi nyeupe. Kiroho Simbi hua zinavutia energy nzuri mwilini na kwenye makazi. Mvuto na kinga Unapovaa simbi hizi ni sehemu ya mvuto na kinga ni vizuri ukawa nayo mkononi. Au ktk nywele. Pia unaweza kuiweka ndani au sehemu umayohifadhia pesa ata ktk waleti. Pia ni vizuri kama utaiandaa kwa kuiweka ktk mchanganyiko wa mafuta ya bint sudan, Gift zanzibar na dawa za mvuto au kinga kulingana na kusudio lako. Kisha ukainenea maneno unayotaka nguvu yake iwe ktk upande huo kama kuinuizia kama kinga au mvuto. Baada ya kumaliza kuinenea itumbukize ktk mchanganyiko wa dawa zako iache humo kwa siku 3 au 7 kisha itoe kwa kuinenea kua simbi yako ina nguvu na inafanya kazi uliyoitaka ifanye. Kua karibu nayo kwa kuivaa au kuiweka karibu nawe. 1- Pia Simbi unaweza kuitumia kama kinga ya nyumba Apa upate simbi yako iweke mchanga wa bahari au ziwa na maji ya bahari au ziwa kisha ifunge kwa kitambaa cheupe na uifukie katikati ya makazi yako na kwenye pembe zote nne za makazi yako. - Mvuto na kuondoa nuksi na mikosi Tumia simbi zisage upate usila wake mweupe changanya na dawa za nyota, mtinginya, mwita, tumia kuogea na ukishaweka mchanganyiko huu kwenye ndoo ya maji ya kuogea weka chumvi ya mawe na Rose water. Ogea kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Unaweza kutumia usila wa simbi kujifukizia kuleta hali nzuri ya mwili na kuondoa energy mbaya. - Mvuto wa biashara pia kwa wale wenye changamoto hiyo 4 Simbi hizi pia zinaweza kutumika ktk kujitibu maradhi mbalimbali kama Kisukari, bawasiri, pumu, kifua na mengineyo apa ndio utajua ninaposema simbi ilibeba maana kamili ya watu weusi ktk asili. Yaani simbi ukiijua matumizi yake wew ni tajiri wa afya na uchumi. - Bawasiri Tumia ndimu kamulia ktk glass upate maji ya kutosha weka simbi 3 au zaidi ndani weka na madonge 7 ya chumvi ya mawe baada ya masaa 48. Utaanza kutumia kwa kujipaka eneo lilioathirika marabilo kwa siku asubuhi na mda wa kulsla jisafishe kabla ya kuanza tiba. AU Unaweza kuandaa usila wa simbi ukachanganya na mafuta ya nyonyo ukapaka sehemu yenye bawasiri mara mbili kwa siku. -Pumu Tumia ndimu kukamulia ndani ya glass weka simbi zako 4 weka ndani yake baada ya masaa 48 uwe unakunywa vijiko viwili au kimoja kwa watoto ila usimpe mtoto mchanga. Kutwa mara mbili. - Kisukari Tumia simbi 5 au zaidi weka ktk chombo chenye nafasi ya kutosha cha glass kamulia ndimu za kutosha subiri baada ya masaa 48. Anza kutumia kwa kunywa vijiko viwili asubuhi na jioni. -Kifua Kamulia ndimu ktk chombo cha glass weka simbi 3 na chumvi ya mawe punje 7 kisha subiri baada ya masaa 48 kunywa kijiko kimoja kutwa mara mbili. -Mtoto wa jicho Tumia usila wa simbi changanya na utomvu wa toto la ndizi. Tumia ktk jicho lenye tatizo fanya kupaka au kuweka mara mbili kwa siku. --"::ASILI YETU NI URITHI WETU. TUSIISAHU ASILI YETU! Asanteni kwa kusoma. 🙏 Kama upo na swali lolote niulize kwa comment nitakujibu #urithiwamababu

About