@pinboyfrankey: Hii bila foundation ya ugali ya wimbi hutoboi 😹😹😹 #coctail #mixology #nairobibarschool #kenyantiktok🇰🇪

frankey
frankey
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 10 November 2026 01:01:38 GMT
1137013
79144
2645
1929

Music

Download

Comments

tetty006tetty
Tetty006 🇰🇪🇰🇼 :
unaeza jimix na Mimi hivyo🤣🤣🤣
2026-11-10 12:10:21
3006
ashy.cute43
Ashy cute 🥰 :
Where's my cocktail daddy
2026-11-14 07:40:16
0
estherkagitu4
user7727577389280 :
Nobody is talking about how cute he's 🙈🤭
2026-11-10 13:56:37
919
godfreybatton92
mayombe :
nishawahi kwenda kwenye harusi ya kishua sasa sijui ndo cocktail ilikuwa kwenye madafu .nikachukua moja nikanywa lote tamu sana dafu lapili naona wale wahudumu wanani angalia nikasema mbona kama wachoyo hawa wananitolea macho kivp kumbe wanani shangaa mimi sielewii nikapiga tena lote nilidondoka kama mnazi nilikuja kushangaa nipo stend sijui hata nimefikaje
2026-11-10 20:52:13
884
rasta.gz2
rasta 🇰🇪 GZ :
hii ukiguza kidogo tu unalala hadi elections
2026-11-10 11:17:27
2629
makutesa228
CAROL😍😍❤ :
alafu upate ni 800 na ukitoa hizo ice cubes inabaki empty glass
2026-11-10 13:51:24
1246
farha_124
farha :
Deep down I want to be a bartender
2026-11-15 12:44:57
0
ziondaughter112
Tatiana 🌸♥️ :
We all shall see 2027 ♥️♥️♥️♥️
2026-11-15 11:31:16
0
kalunda632
Doreen berthez ❤️🥰 :
wenye wanshangaa kama Mimi gonna apa😂😭
2026-11-10 09:00:36
644
kidy_jax72
@kidy _Jax 72✨ :
what is now
2026-11-13 20:16:16
0
ninotzofficial
Nino_tz :
mbn kama Mtwara haina Tandahimba 😂
2026-11-11 16:17:42
175
merianjay4
Munaa❤️ :
mimi naye ju ni mang'aa wa mang'ang'o lazima nijaribu😂
2026-11-10 11:50:17
225
lorinemolly251
🎀L♥️REENE🎗💫 :
Hapa usipokula huwezi toboa😂😂Niulizeni
2026-11-10 10:38:13
311
herode.255
Herode :
man down
2026-11-15 10:47:31
0
annbarkat1
Ann🩵🤍🤎💜💙 :
Hii club ni gani nikuje kesho[Big LOL]
2026-11-13 17:28:24
0
gertrudekaruri
🔱~Getty~👄🧸❤️💦 :
kuna waiters hawaongeleshani juu yake niko sure😂😂😂
2026-11-10 21:39:39
212
essy.j3
Essy J :
Kama Hawa ndo baristas ni kama nitarudi kulewa 😌😂😂
2026-11-10 17:14:25
48
mc.severine
Mc severine :
Huku JAMHURI haina MUUNGANO wanangu😂😂😂
2026-11-11 18:08:44
28
blvk891
✧ʙʟᴀ̂ᴄᴋ ᴍᴇ̂ʟᴀ̂ɴɪ̈ɴ✧ :
sim2ambie inaitwaje..
2026-11-10 11:41:03
456
getruda.maketta
G pretty 💖 :
Mdada ukijichanganya kumpa moyo huyu utalia kuliko msafara wa wanasiasa😅😅😅
2026-11-11 16:04:36
45
ratifaally46
pretty tifany :
niliendaga kwenye party na lafiki zangu wao wanakunywa me sinyi wakaniletea na katunda wakasema kunjwa juice hii sikulewa ila nilichanga msha party
2026-11-12 15:14:59
7
minrude..2
mah twins🥰 :
uku ukijaribu kueka foundation ya indomie utazima na first sip😅😅
2026-11-10 12:09:15
5
konzoqueen
konzoqueen💯 :
after taking it 😂😂😂😂😂
2026-11-10 18:29:08
23
isindu...h
Isindu... :
the ice filled the whole glass 😒
2026-11-10 12:13:29
98
sacitha1234
💙 JUNIOR 💙 :
hii nikikunywa naita mama yangu babe🤣🤣
2026-11-10 15:59:17
53
To see more videos from user @pinboyfrankey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About