@_zuzaism: Part 268 | Tunazungumzia kuvunja minyororo ya mfumo wa utumwa wa kifikra na kidini unaowafanya watu wajione wanyonge na wakosefu, tukifichua siri nzito kwamba uwezo mkubwa wa kuumba, kuponya, na kusimamia hatima hauko nje kwenye madhabahu za mbali bali upo ndani ya akili yako ya chini ya fahamu—kama ambavyo mafundisho ya siri ya kale yalisisitiza kuwa mwanadamu ana uwezo wa kufanya mambo makubwa zaidi ya yale ya kimitume, ili uache kuishi kama mwombaji na kusimama kama mtawala halisi wa himaya na maisha yako. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #jesus #spirituality