David sixbert :
Ubarikiwe MTUMISHI WA MUNGU 🙏🙏🙏,,,, Lakini sijapenda huyo mtu aliyeweka alama kichwani kwake harafu bado yupo kwenye kutafakari injili,,, Watu wengi wanatazama wanaweza kuhisi unaweza kwenda kwenye Ibada na michoro kama hio kichwani na Wala hakuna shida yoyote kwa kumtolea huyo mtu mfano,,, Kama kwel anataka kushiriki kwenye NENO la MUNGU ni vyema awe na physical appearance ya KIMUNGU,,,, Kwa unyenyekevu mkubwa najua utalifanyia kazi Hilo MTUMISHI WA MUNGU 🙏🙏🙏
2026-11-11 07:14:37