shehe kuota umekusanya wat unasoma duwa inaamaan gn
2026-11-11 11:28:48
0
Mrs eboos ❤️💍🔐 :
Eti kuota umeolewa inamaana gan iyo
2026-11-11 06:15:56
0
user1201499061665 :
nakam unaota walio kufaa kila mara je nn maana nawaombea lkn bad
2026-11-12 06:31:29
0
Blessed Shuuh🤩 :
kuota umepotea njia watafuta pakutokea?
2026-11-11 03:39:14
0
Nana :
Kuota mtu wa karibu aliekufa? Na unampambania asife tena kwenye ndoto, maana nimeota ni Kama kuna watu walikua wanataka kumuua na Mimi nikamuita kumuokoa?
2026-11-10 14:26:13
0
Sadick Ramadhan :
mm zamani nilikuwa naota vitu vingi sana alaf ndoto zinakuwa uhalisia,, sahivi naota lakin ni kwakuongea usiku ata alie karibu yangu anasikia kila kitu, naomba msaada ili niwe naota kimya kimya
2026-11-11 08:49:05
0
Amina :
Ukiota mume anakuacha n kumfata mwanamke mwingne inaaashiria nn?
2026-11-10 19:37:28
0
tinahmsechu :
niliota nipo msibani tunazika baada ya mda nikaota nipo kwenye sherehe maana yake nn
2026-11-15 11:50:11
0
Mama Habiba :
amiiiiiiiiiiiin
2026-11-10 06:07:10
0
Ashmey :
ukiota umeona maiti lakini huijuwi je?
2026-11-10 12:00:38
0
Irene Tarimo835 :
Kuota kuna2agawia hela baba na mama ,ila baba alishafarik ,na hizo hela Kuna ambazo zimechanika,Ina maana gan
2026-11-13 14:05:24
0
ndayizeyejolie409 :
kuota unapewa pesa
2026-11-11 17:51:29
0
daisy d💫💛 :
na kuota unateleza
2026-11-14 05:15:38
0
wabu step :
hukiota umeona maiti ndani. naomba maana yake
2026-11-14 09:09:21
0
Monica Githuku :
kuona unapigana na mtu unayemmjua
2026-11-12 15:42:34
0
user91181278800598 :
kuota ukiwa shule
2026-11-12 17:33:26
0
Ramlah Dulah :
nilishawah kuota kuona maandishi ya Q'uran juu Yana rang ya dhahabu Ina mahana Gani!?
2026-11-15 19:53:15
0
salma makhame :
Assalamualaikum sheh ukiota umekutana na simba dume na anakutishia kukuuwa lakini ukamshida maana yake nini tafadhali namba jibu
2026-11-15 19:55:47
0
Alpha001 :
kuitwa usingizini
2026-11-14 11:39:09
0
Emily ngoda :
nimeota npo ndan yashera ila ninae funga nae harus simwon
2026-11-13 19:38:44
0
@hummy7911 🥰🥰 :
niliwah kuota nimezikwa na mtu flani hivi hiy ndoto inamaan gan
2026-11-13 15:28:09
0
Mamoswa💞🌹 :
kuota mpo kwenye hadhara mnakula chakula au nyama iliyopikwa ina maana gan?
2026-11-15 06:14:04
0
Wife💍 🔐❤️🩹❤️🩹material @ :
😁😁😁
2026-11-12 18:34:14
0
To see more videos from user @brainmbuzi132, please go to the Tikwm
homepage.