eeh Mungu naomba uniweke nilee watoto wangu mwenyew Yarrab😢😭😭🙌
2026-11-10 09:12:20
415
Lau Khan❣️🐇 :
siludi mtaniuwatena😁😁😁
2026-11-10 19:51:46
5
penuelmbwambo :
huyu mtoto anahitaji msaada, anamaumivu moyoni
2026-11-10 07:38:54
161
minah de qute :
Nimejikuta nalia tuu kuna watu wanapitia maisha magumu sana kwenye familia zao ila nshukuru mungu mama na baba angu kwa kunilea mpaka hapa nilipo fika🥺🥺🥺
2026-11-10 11:03:22
65
Mami toy :
uyo mtoto siyo mjinga anaakili timamu ivyo anajuwa mazuri na mabaya kama anafanyiwa mabaya nibora aondoke tu nakauli yake anasema atapambana nisaw namungu atambariki tu
2026-11-10 18:40:11
19
kitunguu :
kuna watoto wana zariwa na mama wakufikia kabisaapa duniani nishayapitia ayo maisha ndomana simpendi mama angu mzazi
2026-11-10 12:56:18
49
Sheila Hassan :
I feel like cry
2026-11-10 22:22:18
0
user1874635233577 :
yaani nimejikuta nakumbuka mateso niliyo kua na fanyiwa na baba angu mzazi yaani huyu mtoto nikama mimi nilinusurika kufa kwa kujinyonya kama mara2 na nili koswa koswa kugongwa na nyoka usiku kwa kukimbiya mateso nimejikuta na liya sana walahi mungu atusimamiyet katika maisha yetu tunayo ya pambaniya[Hands open][Pray]
2026-11-10 09:22:37
24
Raya beauty cosmetics :
Nakuombaa usiludiiii makambako plz 🥺 sometimes tunaishiiii na wazaziiii wametuzaaa ilaa awatupendiii
2026-11-10 14:17:47
14
fatma :
inauma san daaah
2026-11-10 21:36:18
0
Reen Mmbando :
eeh mungu naomba unipe uzima nilee watoto wangu😭
2026-11-10 11:05:33
37
Grace Haule :
Pole mama
2026-11-10 17:19:36
0
Shija nkola Mayunga :
mhhhhhhhh 😊
2026-11-10 20:48:17
0
mima :
ila mama ima
2026-11-10 11:51:59
0
Ria :
Hadi machozi yamenitoka jamanii🥺
2026-11-10 11:39:57
8
Dorcas Abdul :
tumsaidie mtoto asirudi atamua
2026-11-10 14:54:10
5
Huba outfit :
yani adi nimekumbuka mateso niliyo yapitia Kwa momy angu 😭🙌
2026-11-10 16:59:31
5
ya bill :
guyz tuwapende watoto
2026-11-10 16:05:41
5
kisole-tz :
ak katoto jaman ten kalafiki kang kwel kumb ndiy kanayo pitia daa😔
2026-11-10 12:37:23
22
Maria :
mung naomba unijalie maisha marefu niwalee watoto wang mulinde nahuyu mtoto mung mjaalie kwenye utafutaji wake mtunze 🥺😭😢
2026-11-10 11:40:02
9
Cynthia :
maumivu ya huyu mtoto tunaelewa wale watoto ambao hatukuwahi kupendwa na baba
2026-11-10 09:01:03
5
pelis :
jaman maoni yangu selekali iliangalie hili mana niwengi tumepitia hali kama hio inauma sana
2026-11-10 07:22:40
6
sophy :
mungu amjaliee hitaji la moyo wakee
2026-11-10 09:44:09
6
Norah love :
jaman inaumiza😂😂😂
2026-11-10 21:26:56
1
To see more videos from user @melianaaah, please go to the Tikwm
homepage.