@burudani_zone: Mapokezi ya kishua! 🔥 Diamond Platnumz na Zuchu wawapokea Davido na mke wake Chioma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Sasa swali ni moja tu, Davido amekuja na jambo gani Tanzania? 👀🇹🇿🇳🇬 #diamondplatnumz #davido #zuchu #tanzaniantiktok #bongofleva