@cattie055: Kuna mambo Mungu angekuwa anayafunua au kutuachia tupambane wenyewe yamkini tusingetamani hata kulala kwa sababu ya hofu. Lakini Mungu kuna wakati anatupambania pasi na sisi kujua. Kuna wakati mshukuru Mungu hata kwa usiyoyajua wala kuyaona maana si yote huwa unayajua. Zaburi 118:13 "Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini BWANA akanisaidia." #kama #si #Bwana #Emmanuel #mgogo