@dr.yunusu: UNATEMBEA DAKIKA 10 TU, MIGUU INAANZA KUPATA GANZI? USIPUUZE ISHARA HII! ⚠️" Huenda tatizo likawa ni Lumbar Spinal Stenosis (kubana kwa mfereji wa uti wa mgongo) katika eneo la L4-L5. Maumivu, ganzi na udhaifu wa miguu vinaweza kuathiri uwezo wako wa kutembea. Usisubiri hali izidi kuwa mbaya. Tafuta uchunguzi na matibabu sahihi. #usa🇺🇸 #viral #zanzibar #canada #congobrazzaville242🇨🇬