@ulimwenguwaufeminine: Jifunze ku Cut off watu ukiwa Calm bila hasira. Book your 1:1 Coaching call namba zipo kwenye profile. Pia kujoin Group la kudumu la wanawake Feminine zaidi ya 320+ WhatsApp ❤️✨💃🏽

ulimwenguwaufeminine
ulimwenguwaufeminine
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 05:59:56 GMT
127714
8388
300
299

Music

Download

Comments

minjareapparelnglam
✨ M I N J A R E✨ :
Mm ndonimeachna nae leo sjui nitaweza
2026-11-10 17:09:04
9
norinah63
Norinah_queen💜 :
Alijua siwezi achana nae [Tears of joy][Tears of joy]yooh leo nipo nafurahia life[Cool]
2026-11-10 07:23:00
34
merry.edward8
Merry Edward :
mmh hii tangia niachwe ndo hizi clip zinajaa kwenye cm yangu
2026-11-10 06:48:30
137
tigress_me27
Unforgetable soul….😊 :
Tunaondoka
2026-11-10 06:17:28
53
cromy14
Ms..cromy :
Guyz mm nmeondoka bla kelele though imeniuma but nishinda🙏
2026-11-10 07:05:22
25
niphamax
Nipha🤍 :
Nimeachana nae ten kwa utaratib san 😂 tc was nice knowing u 😂 ndio goobai 😂
2026-11-10 07:37:55
13
joshuamjeshi477
The True Nswila :
Namshukuru MUNGU huwa naondoka kwenye maisha ya wanaume bila kusema chochote
2026-11-10 07:14:05
14
ivetatzl
😍😍jmy#### :
kmya at nimkut na mwanamk mwngn mie kimy na tukikutan na pretend like northing happen
2026-11-10 06:14:59
19
vv.vanisaaa
Vanessa :
That’s true my dear
2026-11-11 16:09:53
1
lizzyliz908gmail.com
,🦋empress🔥 :
mm lazima nitoe matangazo😩
2026-11-10 07:08:08
7
niyigena.hyba
Niyigena Hyba :
It is not esly my love
2026-11-10 06:56:57
2
rosie...rose..827
R҇σʂιҽ.>.015 :
I am already leaving from today 😥
2026-11-11 02:03:58
1
veloura.doll
@veloura :
i am the first
2026-11-10 06:02:32
5
fromyourcontact578
From your contact :
Lemme try
2026-11-10 18:24:33
1
nyotayagirl
nyotaya💰☑️ :
true dear🥰
2026-11-10 22:42:40
1
shallo.shallon.be
Shallo shallon Ben :
thank you
2026-11-11 11:48:01
1
user7933937177752
Blessing✨️✨️ :
leo nimeachana na mtu niliekuwa nateseka kwa ajili yake najihis km nimetua mzigo mkubwa🙏🙏
2026-11-10 14:13:27
5
ms.khatba
ms_.khat🦅💕 :
Well said 📌
2026-11-10 21:57:12
1
reginamchomvu
Regina Mchomvu :
Mimi nilicut off bila kelele na kuacha kila kitu nikaanza upya raha vip 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-10 07:45:47
8
2589balajiola
Tinael 🦋😍 :
wewe dada Mungu anilindie wewe nakupenda sana ushauri wako unanifaya kuwa jasiri😍😍🥰
2026-11-11 14:39:19
1
arapha.issa7
Arapha Issa :
good 👍
2026-11-11 17:25:15
1
mayrastar17
mayra star :
INAUMA DADA🙄
2026-11-11 16:51:14
1
natasha3206
Babytashalove 💕💕 :
Mimi nliodoka kwa Amani Lkn YY amenitagaza kila mahali,hata kuharibu usiano wagu n mandugu zagu
2026-11-11 13:05:29
2
user2100023879315
aSher😉 :
kama ivii yanii mdogomdog tunaondokaaa
2026-11-10 11:33:16
1
user2400851480212
𝑠𝑢𝑝𝑒𝑟𝑔𝑖𝑟𝑙&𝐸𝑑𝑑🥰🌹 :
Hivi kwanini mtu akitoka kuachika viclip kama hivi vinakujia kwenye cm kama mimi hapa juzi nimetoka kuachip viclip vya kuachika vina nifata,fata tu😂😂😂🙌🏼
2026-11-11 14:17:35
1
To see more videos from user @ulimwenguwaufeminine, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About