@ukhty.sallaam: ✨ UKIWA KWENYE HEIDH, IBADA HAIJAFUNGWA ✨ Wanawake wengi wanadhani wakipata heidh, ibada imeisha. Kumbe hapana! Umezuiliwa Swala na Saumu tu, lakini moyo wako hauja zuiliwa kumkumbuka Allah. IBADA UNAZOWEZA KUFANYA: 1. Istighfar - Astaghfirullah 2. Dua - omba chochote 3. Dhikr - Subhanallah, Alhamdulillah, Allahu Akbar 4. Kumsalia Mtume - Allahumma salli ala Muhammad 5. Kusikiliza Qur'an na tafsiri yake 6. Kujifunza dini na kufundisha wengine 7. Sadaqah na maneno mazuri Allah hakukuacha, kakupa pumziko ili urudi na nguvu mpya. Save video hii, mtumie dada yako amjue hili. Follow kwa darsa la wanawake kila siku. #DarsaLaWanawake #Heidh #Istighfar #MwanamkeWaKiislamu #viralvideo

UKHTY SALLAM ♥
UKHTY SALLAM ♥
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 06:52:21 GMT
20733
1139
78
38

Music

Download

Comments

user5613810785551
user5613810785551 :
jazakaka llahu khair
2026-11-10 11:58:17
1
user94985365474096
mayamaya :
shukran Kwa marifa
2026-11-11 09:23:13
1
mwana.cute117
Mwana cute❣️ :
Sawa lakin kuna wengine wanatwambia ukiwa hedhi hutakiwi kusom hivi vitu maan wengine hatujasoma san din so tunaambiw tuuu so ukweli ni upi samahani lakin
2026-11-10 10:52:30
3
miisshalsa
Salher💞💞 :
shukran
2026-11-11 11:36:27
1
mwana.baby89
mwana baby🥰 :
Masha'allah
2026-11-11 12:38:57
1
ummiy91
UMURTHIYU TIJE :
tatizo walim hawafafanui fiqih kiundani zaid hivo binti akishafundishwa twahara ya hedhi basi na tupo wengi hayujui kuhusu hili allah atujalie mwisho mwema INSHAALLAH
2026-11-10 17:21:21
2
rehemaabdallah455
Rey💞 :
shukrani
2026-11-11 06:41:15
1
asma.hemed95
Asma Hemed :
Alhamdulillah
2026-11-11 09:15:26
1
moyo.junior2
moyo junior :
Jaza
2026-11-10 09:21:18
2
nurathsaid815
Nurath Said🥰 :
Asante sana kipenz Allah akulipe kheri nilikua sifagamu
2026-11-11 05:32:28
1
asiath.idrissa6
asiath idrissa💕 :
Amina 🥰
2026-11-10 17:56:50
1
nadhwifaramadhan
Nadhwifa Ramadhan :
swadaqta ukhty allah akulipe
2026-11-10 18:04:29
1
ashirunamhunga209
Ashiruna Mhunga :
2026-11-10 12:48:11
1
somoehussein0
Unique :
Shukran
2026-11-10 19:13:24
1
habibty.sada
habibty sada :
Alhamduli llah
2026-11-10 17:32:31
1
latycute04
laty cute :
shukran
2026-11-10 19:15:24
1
usersalha13
usersalha13 :
Shukran
2026-11-10 12:07:52
1
bahati.bahati331
Bahati Bahati :
shukran
2026-11-10 12:53:38
1
mwanaharusi.ally8
myner mommy :
Alhamdu lillah yan nilikua natafuta mtu nimuulze je ukiwa hedhi unaruhusiwa kumswalia mtume wetu wallah nashukuru kwa elimu hii🥰🙏
2026-11-10 17:23:29
2
hadija.hemedi7
hadija hemedi :
shukrani
2026-11-10 14:28:20
1
mwana.cute117
Mwana cute❣️ :
mm sijui ndio maan nikauliza mwanzo ndo ukanipatia majibu
2026-11-10 12:13:25
1
user7355588385
user7355588385 :
Shukran
2026-11-10 09:56:33
1
kayya_miss
Miss _ decoration🌷😚😍 :
shukran sn
2026-11-10 12:38:42
1
sharifaramadhani529
Sharifa Ramadhani :
apana
2026-11-10 12:51:18
1
mumu54791
mumu :
xikujuw
2026-11-10 12:59:37
2
To see more videos from user @ukhty.sallaam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

#follow?me👈  😭منورمدینہ ، نبی ﷺ کا شہر روشن . شهر، روشن چراغ ایمان کا مینار، جہاں اسلام کی تاریخ کو پرواز ملتی ہے جہاں نبی محمد ﷺ کا روضہ ایک مقدس منظر ہے -شہر کی گلیاں کھجور کے درختوں سے سجی ہوئی ہیں، سبز و بلند ایک پرسکون نخلستان جہاں ایمان اور امن دلوں کو مسحور کرتے ہیں مدینہ کی مالا مال تاریخ اور ورثہ چھو کر محسوس ہونے کے قابل ہے ایسا مقام جہاں دنیا بھر سے مسلمان اگر روحانی سکون پاتے ہیں شہر کی گرمجوش مہمان نوازی اور خوش اخلاقی اسے زیارت کی ایسی جگہ بناتی ہے جہاں پہنچنے کے لیے لمبا سفر بھی قابل قدر ہے #plztiktokteamdontunderviewmyvideos #foryoupageofficial❤❤❤❤❤❤❤❤  tiktokMadinah Munawara (Madinah, the City of the Prophet) is described as: - A beacon of faith where Islam's history takes flight. Home to the Masjid an-Nabawi, a mosque of grandeur and might, where the Prophet Muhammad's tomb is a sacred sight. The city's streets are lined with green and tall date palms. A tranquil oasis where faith and peace enthrall. Madinah's rich history and heritage are palpable and real. A place where Muslims from all over the world come to feel. The city has warm hospitality and a welcomina smile

About