@millardayo_: Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 47 Nchini China ametumia mashine aina ya excavator kubomoa sehemu za jengo la kituo cha huduma za Serikali, akidaiwa kuchukua hatua hiyo kutokana na kutoridhishwa na fidia aliyolipwa baada ya shamba lake la ufugaji kubomolewa, tukio hilo limetokea Novemba 9, 2026, katika eneo la Fengdong, China. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari nchini humo, mwanaume huyo alitumia mashine hiyo kuharibu sehemu ya mlango mkuu, ngazi, vioo na miundombinu mingine ya jengo hilo, zoezi hilo lilidumu kwa takribani saa moja huku Wafanyakazi na Wananchi waliokuwa ndani ya jengo wakihamishwa haraka ili kuepusha madhara. Hata hivyo, inaripotiwa kuwa zaidi ya maeneo sita ya miundombinu yaliharibiwa huku, Polisi wa Xixian wakithibitisha kumkamata Mtuhumiwa huyo aliyetambuliwa kwa jina la ukoo Hu na kueleza kuwa hakuna Mtu aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha katika tukio hilo. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 06:53:32 GMT
188867
7806
521
336

Music

Download

Comments

happypesambili729
happy pesambili :
adui unae muweza usimuachie Mungu
2026-11-10 07:39:28
700
trespassers2
Revson :
Don't try this in Africa especially independent since 1961
2026-11-10 07:43:50
137
ochu__77
_ochu77🫆 :
hao ndo vijana tunao wahitaji sasa
2026-11-10 07:28:25
488
idrisa.pablo2
PABLO-IDRISA🔥🔥 :
hii serikali ya wapi yenye uhuru
2026-11-10 07:40:03
69
harunijumakhani
JUMAKHANI🏍️ :
Millard ayo umetumwa kuchunguza taarifa Kila Kona ya Dunia asaiv Kila taarifa napata ataa hii 😂
2026-11-10 07:03:41
130
hakiya170
حكية🧕💜 :
Msiba tunao hatuna
2026-11-10 17:25:11
18
hashkondey
Mchapo :
huyu anaweza bomoa deni la taifa na kuliangushia uko chaina
2026-11-10 17:10:58
13
rebymartine
@official Reby 🥰🇹🇿 :
Huu ndo uwanaume sasa 🔥
2026-11-10 16:16:44
9
y0ung.p0is0n
Y0UNG P0IS0N🤮☠️ :
Huruma cy malez
2026-11-10 07:00:51
105
9uemmy
emly🫀🥰 :
Mr Omni where are u[Laugh approved]
2026-11-10 20:33:16
1
user5026699050869
Rucresha :
YESU anakuja muda umekwisha jamani
2026-11-10 07:01:37
18
abdulwahyd86
ค๒๔ยɭฬคђץ๔86🔵 :
Bora angechukuwa ilo jengo😳😳😳
2026-11-10 06:57:08
14
chioma2628
Chioma :
ukiskia people's power ndo hio apo
2026-11-10 18:05:44
0
edgarwitson4
EW4 :
apo unyama
2026-11-10 17:42:30
0
hassanulbaswariy832
HASSANULBASWRY🚜👷 :
good jobs
2026-11-10 18:04:19
0
user172219656256hi
Hidaya :
Serikali haiamini macho yake 🤣
2026-11-10 08:08:22
8
mbwambo779
Mbwambo Jr :
ewaaah
2026-11-10 07:46:47
0
donasian04
🌸 N I S S Y 🌸 :
huyo dereva Haogopi kupewa kesi ya uhaini
2026-11-10 08:08:00
5
neemamichael230
Froncea💐 :
huruma sio malezi
2026-11-10 07:20:47
5
eunicemsuya910
Cc Msuya :
Tz tukipata 10 kama Hawa heshima ingerudi😂😂
2026-11-10 20:37:04
1
lalikally
Ally Lalika :
sheria ni.msumeno kadhinda kesi hataki.mambo.mengi
2026-11-10 20:42:30
1
lyddah14
lyddah14 :
Huku ni wapi nisije nikajichangany 😭😭😂😂😩
2026-11-10 20:42:49
0
jonasmajogoro
Dr :
tunataka watu kama hawa😃
2026-11-10 19:53:36
5
chui.sport.analyst
CHUI SPORTS ANALYST :
hili ni jeshi la mtu mmoja😅
2026-11-10 20:21:21
1
mkorea08
Official_Mkorea08 :
Hao Ndo Vijana Wakifika 10 Tu Tanzania YETU Itafika Mbali Bn
2026-11-10 20:19:34
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About