@sifagospelfest: Safari ilianzia Mbeya, ikagusa Geita, ikang'ara Mwanza, ikatinga Arusha, na kusimama kwa nguvu Dodoma na sasa, kwa neema na uwezo wa Mungu, tunatua rasmi hapa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya GRAND FINALE (Kilele cha Msimu) ya Sifa Gospel Festival 2026! 🇹🇿🙌 ​Huu sio Usiku wa Kawaida huu ni Usiku wa shukrani, nguvu za Mungu, na sifa za kipekee tutakazoufungia mwaka huu kwa namna ya utukufu mkubwa. Kama hukushuhudia mikoa ya awali, hapa hutakiwi kusimuliwa! ​📍Viwanja vya Posta Kijitonyama Tarehe 04/12/2026 @sifagospelfest @sifagospelfest ​#UsikuWaSifaDar #SifaGospelFest2026 #KilaMwenyeNaPumziNaAmsifuBwana

Sifagospelfest
Sifagospelfest
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 06:54:12 GMT
4228
261
15
35

Music

Download

Comments

lieutenbrck
Lieuteń@Brck 214 :
kiingilio
2026-11-10 08:03:04
1
miss__jennie47
Its_ Jenie :
Nikikosa hapa nichapwe mpk niseme ni nn kilinizuia😂
2026-11-15 10:19:40
1
successryn11
⭐ success.Iryn :
itakua bure maana huko kote dom ilikua bure no kiingilio..sijajua ila
2026-11-10 08:43:45
0
rachelcruz282
Rachel Home Decor✨ :
nilipatia naombeni kadi yangu ya vvip😍😍🙌
2026-11-10 08:04:02
2
mmasyfrida
Fridah🥰 :
Imagine ni siku ya birthday 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
2026-11-15 18:16:23
1
rilah_kienyeji
rilah_kienyeji :
wow hatimaye
2026-11-16 10:45:50
0
young_g332
young-G✝️ :
Ni kusifu 12 hrs 🔥🔥
2026-11-17 04:47:05
0
joree.ricc
JOREE_🎀 :
Mungu aendelee kuwabariki wote mlioandaa Ibada ya Sifa nikitu kizuri sana Tunabarikiwa kupitiauimbaji🙏🏼🎼❤️
2026-11-10 21:27:20
1
chocrise
Janeth :
hii sio ya kukosa❤️nimeisubir sana💃
2026-11-10 21:21:00
0
To see more videos from user @sifagospelfest, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About