@Saidy Kagosi:nina swali kwa mwenye kujua hii naomba anisaidie. Nimekua naota sana ndoto ya kua nipo shuleni naikokwenye mtihani wa form 4 au laa niote kua najiandaa na mtihani either zimebak siku chache mtihan uanze au laa masaa kafhaa au siku niote nimechelewa kwenye chumba cha mtihani yani hio ndoto nimekua nikiiota mara nyingi sana hata hazihesabik kiukwel . alafu mm nilishamalisha sikunyingi tu form 4 toka 2015 msaada kwa mwenye kuelewa vzur
2026-11-10 17:00:27
1
Queen2008 :
mola wangu awaongoze tu kuzazi changu
2026-11-10 07:01:27
7
juma :
allahuakbaru
2026-11-10 19:40:46
1
konta :
mashaalaa
2026-11-10 22:00:38
1
Mau Gado :
ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR
2026-11-10 22:50:04
1
iddy kevene :
ishaala ya allah
2026-11-10 20:02:31
1
zawadi🥰 :
amini
2026-11-10 19:39:45
1
asha idirsa juma :
emungu zid kukuza imani zetu ya allah🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-11 04:09:02
0
Amayra🌷❤️ :
mashaallah
2026-11-10 12:52:49
1
Moshi Mwananchiii💚🧡💚🧡💚🧡 :
Yaa Mola Tujalie Waladu Swaleh
2026-11-11 03:57:32
0
hash :
MashaAllah Allahubariq mungu awazidishie MashaAllah tabaraq Allah