@donrugi: Ushawahi kuulizwa swali la unajijua wewe ni nani na nini hasa unakitaka kwenye maisha yako? Unavurugwa na mambo mengi, upo upo tu unaishia kufanya kila kitu chochote haujajua jinsi ya kujigundua, nini uache sasa na nini uanze kuwa. Hii ni sehemu ya majibu yetu. Pakua vitabu vya Jicho la mchina kwenye Bio yangu au whatsapp 0768127495