@madhabahukamili: MARAFIKI ZAKO NA MADHARA YAKE #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokviral @Mwl Onesmo Prosperity @Mbingu duniani radio

Madhabahu ya Neno
Madhabahu ya Neno
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 06:58:09 GMT
27470
1760
39
140

Music

Download

Comments

chipya3
chipya3 :
Ni uongo tuna marafiki walevi na tunapendana japo hatufuatani wote kwenda kulewa kama kuzungumza na mimi atanitafuta tutenge eneo zuri tujadiliane mambo kadhaa na tunasaidiana kimaisha bila tatizo lolote. kuwa na rafiki mlevi haimainishi na wewe ni mlevi, rafiki Yako akikufahamu wewe unamisimamo na Imani Yako hato kuletea ujinga wake. ZINGATIA: Kila mtu aendeshe Imani yake jinsi anavyo ona yeye ni sahihi.
2026-11-10 08:50:51
10
rosekithia
ROSE TYCOON 💱🇰🇪 :
[Tears of joy][Tears of joy]gwakisa mwandalima umesikia hii
2026-11-10 13:42:55
1
mr.peter9806
MR PETER :
usifundishe watu kuwatenga watu wabaya sasa watapataje kupona na
2026-11-10 16:50:37
0
gadiosmangana
Gadios Mangana :
Hapo umeongea uongo mkubwa chagua cha kuongea hudumayako kwa sasa nikubwa angalia chakuongea,mimi ninamarafiki wengi walevi na mimi sinywi pombe kabisa,Yesu mwenyewe alisema hakuja kwa ajili ya watu wema maana walio wazima hawaitaji tabibu.
2026-11-10 13:00:50
4
user8292919543811
baby tom :
Ameen ameeen
2026-11-10 11:29:55
0
jilton7
Jiliton :
ila ukiwa narafiki tajiri nayo ikoje ?
2026-11-10 17:26:09
1
frenk.edward29
Frenk Edward :
kwel mtume kwel we ndo ticha wanakata ukwel
2026-11-10 17:17:57
1
user2918740722935
user2918740722935 :
amin
2026-11-10 16:45:20
1
daudiasulwisye
daudiasulwisye :
ni uongo huo ,
2026-11-10 16:32:36
1
paulinabonifasi
Paulina Bonifasi :
kwel babaaa
2026-11-10 08:15:57
3
dunamisgospel190
The Dunamis Voice 🇹🇿 :
✌️✌️✌️neno lisilogoshiwa
2026-11-10 08:36:42
2
user3334183375016
kwekaa gerald :
kwely father
2026-11-10 09:05:36
0
peaceabesiga
Peace Abesiga :
Hakika👏👏
2026-11-10 09:03:20
1
user9812011928107
magdarena bwade :
unahisi walev wakikutana nan atambadilisha mwenzie au bac niache tu 🤔
2026-11-10 14:52:58
1
directorkevo4
Director :
True
2026-11-10 17:49:30
0
tullybukuku
Tully Bukuku :
nikweli kabisa mama Ilinigharimu mpaka kulisafisha jina inanigharimu
2026-11-10 13:18:19
0
zjdano
Zj Dan :
Amen
2026-11-10 08:28:25
1
mr.peter9806
MR PETER :
mmmmh hapana bwana uongo Yesu alikaa watu tofauti nayeye na akawa sababu ya wao kuwa wazuri , na ingekuwa hivo basi Yesu angeitwa majina mabaya mengi
2026-11-10 16:50:07
1
rachel.kasela
Rachel Kasela :
kweli
2026-11-10 17:50:48
0
uweramanzi
uweramanzi :
siyo kweli nipo na rafiki na anywe bia
2026-11-10 17:49:31
0
user8292919543811
baby tom :
nkweli kabisa
2026-11-10 11:29:29
0
mrpiraa93
Mr Pirrah :
Si kweliii
2026-11-10 08:59:53
3
fey50177
Fey50177 :
Mnaosema ni uongo Mnajua maana ya URAFIKI??AU MNA WATU AMBAO MNAFAHAMIANA NAO TU
2026-11-10 16:49:17
2
justina.william97
baby Tina🥰❤️ :
kwahio tuwatenge marafiki zetu big 👎
2026-11-10 12:41:46
1
evelineneemaprince
Eveline Neema Prince :
n ukweli, ndege wafananao wanaruka pamoja, kunguru hawez kuruka na tausi
2026-11-10 17:04:46
1
To see more videos from user @madhabahukamili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About