@one_vision_tv: Msanii wa muziki @rj_kanierra_officiel amegoma kutaja majina ya wasanii na ma producer wanao fanya vizuri na anao wakubali wa hapa tanzania akidai kuwa yeye ana waheshim sana na kazi zao kiujumla. Ameweka wazi kuwa wasanii wa tanzania wameshauza sana huko nje na kazi zao ni kubwa sana na ndio maana hawezi kumtaja hata mmoja asije akaonekana ana upendeleo. Toa maoni yako #onevisiontv🇹🇿

ONE VISION TV
ONE VISION TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 07:26:46 GMT
646
30
1
1

Music

Download

Comments

swamy_g2
SWALUX 👑 :
anataka kutumika na wasanii
2026-11-10 08:25:24
0
To see more videos from user @one_vision_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About