Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@r4m477.1: Info pangajian😔
RMA###
Open In TikTok:
Region: ID
Tuesday 10 November 2026 07:52:31 GMT
426
29
0
4
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.65MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.65MB
)
Watermark .mp4 (
3.33MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @r4m477.1, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#UKWELIHALISI:MAAGIZO 3 WALIYOPEWA ASKARI NA MUNGU KATIKA UTUMISHI WAO •Biblia ni Katiba ya Mungu lazima tuifuate kwa sababu, Biblia ndio kitabu pekee Cha hukumu. Bwana Yesu ataangalia alichosema kwenye Neno lake na kutuhukumu. Angalia Neno la Mungu na ulitende. •Kila kazi ambayo mtu anafanya Ina maadili yake na lazima kila mtu afuate hayo maadili ya Kazi yake. Kibiblia, Kazi unayofanya lazima umpendeze MUNGU Ili uweze Kuurithi ufalme wa Mungu baada ya kufa. Mungu ameweka askari kwa ajili ya ulinzi wa Mali za umma na watu waishi kwa amani. •Imeandikwa Luka 3:14 [14]Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu. •MAAGIZO 3 WALIYOPEWA KUFANYA KATIKA TAALUMA YAO 1. MSIDHULUMU MTU •Neno msidhulumu kwa kiingereza linasimama kama " Violence" . Hii ni Neno linaloonesha kutumia nguvu kubwa sana katika Kupinga Jambo Fulani. Hii Neno Lina akisi vurugu na ukatili katika utendaji. Usiwaonee watu kwa mabavu na vitisho . Biblia inasema mpende Jirani yako kama nafsi yako , Taaluma isigeuze moyo wako ukawa kama Mnyama. Hukumu kila mmoja inamsubiri. 2. MSISHITAKI KWA UONGO •Hapa tunaona uwazi unahitaji katika uendeshaji wa kesi mbali mbali kwa watu. Kila kitu lazima kiwe Cha Kweli, ushahidi wa Uongo na kesi za Uongo ni makosa mbele za Mungu. 3. MTOSHEWE NA MSHAHARA WENU. •Hapa tunaona kuridhika na mishahara yao na posho zao na kuepuka Vyanzo Vingine vya mapato visivyo vya haki mfano Rushwa. Usitumie njia za panya kupata mapato ndani ya kazi yako. Pata fedha zako katika njia halali,Epuka magendo. HITIMISHO •Kila kazi ya mtu itapimwa, kila kitu unachofanya hakikisha Nia yako ni Kuurithi ufalme wa Mungu. Imeandikwa Ufunuo wa Yohana 22:12 [12]Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. •Mkristo wa Kweli ambaye ni askari na anataka kuingia ufalme wa Mungu baada ya maisha haya Kubeba Silaha mikononi ni ishara ya Mauaji na hakuna muuaji atayeurithi ufalme wa Mungu. Tafakari sana hili na ufanye maamuzi sahihi.Biblia inasema usiue • Kibiblia, mwanamke kuvaa suruali ni machukizo mbele za Mungu. Wanawake ambao ni askari wanaovaa suruali Wanakuwa wenye hatia Mbele za Mungu . Fanya maamuzi sahihi Imeandikwa Kumbukumbu la Torati 22:5 [5]Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako. ••: Sikiliza Ushuhuda huu wa Kweli Kwa link iliyopo kwenye bio yangu ••: Shalom
Golden Words🫰 #unfreezemyacount #unbanned #dontunderviewmyvideos🥀 #KHALIDTYPIST🍂 #creatorsearchinsights
لن تكون النهاية #خالد بن #يحيى_المازن
cap in vd || lấy lại cùng mi 😖 chùa = lọc #xhuonggggg🐰_kiute🥝_🍭team_kẹo_ngọt🍭🐰nấm💦🌷 #🥀gia_đình_hoa_ngữ🥀✨_鞠婧祎 #🌻_bailu白鹿_bạchlộc🍄🍂✨_zhaolusi_赵露思_trieulotu💜 #cúctịnhy_鞠婧祎🍃_jijungji_mâtquât_cuctinhy💦 #khalolelato
#james #viral #jamescharles @James Charles
عيش بطيب أصلك مهما سائت معادن الأنذال من حولك👌🖤 .#اعادة_النشر🔃 #عباراتكم_الفخمه📿📌 #اكسبلور #شعب_الصيني_ماله_حل😂😂 #fyp
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy