@mr_mangapi: UKIISOMA BIBLIA KWA JICHO LA MAENDELEO, UTAONA UCHUMI NDANI YAKE! 📌 Kuna watu wanaposoma Biblia wanaona shetani kila mahali, lakini wanasahau kuona kanuni za uchumi, uwekezaji, ubunifu na maendeleo zilizomo ndani yake. Yesu alitumia mfano wa mpanzi aliyekwenda kupanda mbegu. Ukiitazama kwa jicho la uwekezaji, mpanzi ni mwekezaji, mbegu ni mtaji (Capital), shamba ni eneo la uwekezaji, na mavuno ni matokeo ya uwekezaji. Lakini si kila mbegu ilianguka kwenye udongo mzuri. Nyingine zilianguka kwenye miamba, nyingine zikakosa mazingira ya kukua au Ukuaji. Hii inatufundisha kwamba si kila wazo litafanikiwa, si kila uwekezaji utazaa matunda, na si kila mazingira yanafaa kwa ukuaji wa biashara. NOTE: Usitumie muda wako wote kuomba mafanikio huku ukipuuzia kanuni za kuyatengeneza Mafanikio 💰 Jifunze kupanda, kuchagua mazingira sahihi, kulinda mtaji na kuvumilia mchakato wa ukuaji. Mtu mwenye jicho la maarifa anaweza kusoma maandiko hayo hayo na kuona kanuni za maisha, biashara na uwekezaji. Biblia haisomwi kwa macho pekee, inahitaji pia akili inayoweza kuona maarifa yaliyofichwa ndani ya mifano yake...... This is From PT - Pastor Tony Osborn @Pastor Tony Osborn KINGDOM | FIKRA SAFIRI 💫 Unataka Ushauri au Mentorship Unaweza Ukawasiliana nami kupitia Whatsapp No +255 719 260 104 Mr Mangapi......✍️ #tanzaniantiktok🇹🇿 #flypシ #videoviral #trending #africa

𝗠𝗥 𝗠𝗔𝗡𝗚𝗔𝗣𝗜
𝗠𝗥 𝗠𝗔𝗡𝗚𝗔𝗣𝗜
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 08:07:24 GMT
18138
1076
17
21

Music

Download

Comments

yona.kabenga
Yona Kabenga :
mbengu za miba inamanisha hivyo MANGU tupe mwisho mwema kila mtu husema anacho kiamin
2026-11-10 10:04:48
2
1000realmen
POWER 🔋 :
Wewe kulingana na uelewa wako, lakini hata Yesu hapa alielezea maana ya mafumbo hayo hakumaanisha biashara.
2026-11-10 14:35:12
1
omykara222
omy boy 🏝️🏝️ :
kumbe bibilia ni uchumi mm nilikuwa sijui
2026-11-10 10:16:20
2
mkali.ukwaju8
Mkali Ukwaju :
mbegu haikuwa na maana ya uchuki bali waaminio,
2026-11-10 14:13:36
3
saad.hatibu
Saad Hatibu :
Mbegu ni mwanamume na shamba nimwanamke maana yake mbegu inaama ila shamba alihami
2026-11-10 14:15:06
1
nezehosefazzo
Fazzo :
watu wana komaa ila ni dalili za siku za mwishi hasa mwenye sikio na asikiye
2026-11-10 12:06:43
1
mkushi2557
MKUSHI 🧉 :
2026-11-10 08:10:37
1
chanceombiza
chanceombiza :
2026-11-10 13:05:26
1
chanceombiza
chanceombiza :
2026-11-10 13:05:37
1
yeye.juscaler
Yeye Juscaler :
🥰🥰🥰
2026-11-10 19:34:50
0
mrbaruza
1234 :
😳😳😳
2026-11-10 17:49:49
0
vitalmuganguzi
Vital Muganguzi :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-10 14:35:27
0
peter.maranya
peter maranya :
🥰🥰🥰
2026-11-10 20:46:55
0
To see more videos from user @mr_mangapi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About