ww umeniperemba kwa mda mrefu ila karibu kwa lolote unalo jisikia kusema na kufanya kwangu kwani mimi huesi kunitisha kiivo mimi nina kujua tabia visuri sana mzee
2026-11-10 09:59:04
2
MATIHAS :
mungu akubariki sana ndugu yetu na mungu hakutangulia kwa maono mazuri ambayo unayo lakini kama watu wasikie wachana naye kwa ajili unajaribu sana kuelimisha lakini waelimike mungu akutangulie na mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏🌹🌹🌹🥰🥰🥰o😂
2026-11-10 18:45:29
1
ole sumule🇰🇪🇰🇪 :
Hahahahaaaaaa Sawa Baba 🙏🙏🙏
2026-11-11 04:10:32
1
2️⃣MR•SHOLAA :
kesi ishakuwa ngumu
2026-11-10 17:32:30
1
Kisonga :
hongera baba sema ukweli tupo pamoja
2026-11-10 11:53:27
1
isaka kalaita :
wambie
2026-11-10 10:47:01
2
Joseph Leyan :
papaa siday ww ongea point 👉 upo sahihi usitishike kwajili tupo pamoja sana na ww kwajili unafanya iwe kila mtu awe na eshima ni bure lakini hizi mitandao ni kutumia vizuri bila shaka sema yote ndio itapona kwajili angeungana na ww sio kuchochea watoto sio sahihi hilo pasuwa jibu ndio mana itakuwa sawa twende mbele
2026-11-10 17:44:40
1
Samwel Kilambay :
kweli jaman mungu ataksaidia we ongea sanaa
2026-11-10 08:41:20
2
kinolo :
kaka mwambie ukweli huyomze
2026-11-10 10:56:20
1
Baraka 🪖 :
Upo sahihi Papa Lengurlee.
Ila tunaomba hili jambo peleka kwa Malaigwenani mbona kitu kidogo sana, ivi ni kweli watoto wadogo kabisa hawa mnashindwa kuwazibiti mpk inafikia nanyie wazee mnapishana kauli???
2026-11-10 15:45:20
1
🇹🇿kazamoyo🇹🇿 :
Mzee nakukubali toliki Sana
2026-11-10 17:05:04
1
SAMWÈLI :
usijali pambana
2026-11-10 14:52:08
1
user7245361753936daniel ole le :
papa usiyogope wambie ukweli.
2026-11-10 14:26:32
1
𝐊𝐋. mlinde :
ndoo mana nakubr baba yang kuna nyimbo sa injili sinaenda kupgwa dumila pabu
2026-11-10 11:28:48
1
Ole mauli666 :
umetisha brother
2026-11-10 13:06:12
1
Mtembu Mgusa :
kwani sukujui ww tabia yako mbona mimi siyo mgeni na wewe ww wadanganye hao wa mitandaoni 🔥
2026-11-10 09:52:20
1
water star 💫 maasai✅️ :
2026-11-10 12:35:18
1
MERETI PETER :
good
2026-11-10 09:59:20
1
Ole mtitu ✈️ :
😂😂😂😂
2026-11-10 08:57:39
1
olekimosil :
paapa sidai[Pray]
2026-11-10 08:36:52
1
madumba shange🇹🇿🇹🇿 :
2026-11-10 08:39:27
1
MENNYE NDIDAI :
asante mkuu wetu
2026-11-10 08:50:04
1
MENNYE NDIDAI :
ila nakuomba usiimpe uyu jamaa akupanikishe usije ukapanik unacho zungumzia ni haki kwaiyo mda itafika slow but sure asante
2026-11-10 08:55:04
1
To see more videos from user @melongioetieseder, please go to the Tikwm
homepage.