ila chaziii🥰 ila ck ya kwanza nakuona nilikuwa skujui kama muuza nguo nilikuona kwa zeelacode now nimekujuaa oya mwanangu unapambana sanaaaa na kama mlikuwa amjui uyu ni mwanaume rijal muache ZARAU ila anatafutaa pesaaa anatak kula kwa jashooo😂❤️
2026-11-10 10:44:44
24
Betty Chapa :
Yani biashara za saiz bila kua mwehu hupati wateja 😁
2026-11-10 12:10:02
17
💗mtoriiy🎀 :
Tutanunua jmn😂😂
2026-11-10 11:06:04
10
Monie Momo🦋🌹 :
😂😂😂😂kama staki gauni nataka kuchezewa kama hvo nyumbani shingap kaka😂😂😂
2026-11-11 12:52:18
12
Habibu Lyambo01 :
daaa una mzigo hatar mtako kama wa mke wangu na hiyo nguo daaa hatar mrembo