mm sisemi ila nitamdanganya naenda narud nikifika tz ndo imeisha hiyo
2026-11-10 09:27:30
10
CLEAN HEART ♥️💗 :
kuna moja wameblock passport yake kisa kasema harudi🤣
2026-11-10 10:12:21
3
azlatty :
jamn na mm nilitamani kuj jamn shida paspoty
2026-11-10 09:44:43
1
m :
kwel bwna unasema kwel
2026-11-10 10:56:21
0
Jasmine🦋🧕 :
Nina ushuhuda hapa warabu 🙌
2026-11-10 09:46:52
2
Mom’s choice :
Mm nshazimiwa wifii na nimebkshaa miez mitatu unaona uchungu tu
2026-11-10 09:58:59
0
Swaumu Abdallah :
naomba nije huko nipe namba za ajent
2026-11-10 09:40:19
0
user42001660162283 :
ninasiku ya pili [Embarrassed] nawaza nitaweza
2026-11-10 10:02:01
0
Roukhy🤎 :
Me mwarabu wangu antaka uende lakini sy akupeleke kwa ajent ubadili nyumba yupo radhi akuuze ili apate hela ya mtu mwengine[Tears of joy][Broken heart]
2026-11-10 09:34:54
3
user3706186831747 :
kama mimi naondoka baada ya ramadhani nasinaa ata mpango wakirudi aliypnipitishaa 🙌matusiii yaani alafu yupo kila siku ananiuliza utaongezaa yaani mpaka nimechokaaa 😓
2026-11-10 09:25:27
0
الحبسي :
mashaallah
2026-11-10 10:00:42
1
mwaija :
huu ni kweli
2026-11-10 09:39:07
1
Ruqayyah Mrreesa :
nikweli
2026-11-10 09:55:24
1
maryamudunga :
😂mimi sijuwi hii vita sijuwi nitakuja kuikwepa vipi maana mmmh
2026-11-10 09:08:52
0
sweet girl 254 :
unasema kweli dada
2026-11-10 11:02:38
0
Ashura Juma :
nikweli mimi wagu ameanza kuniuliza kuhusu mkatapa ukiisha utaongeza mkataba mwengine au afu hivo ndo ninamyezi mieili tu oman [Pray]
2026-11-10 11:14:45
0
zarii :
wee dada huku kwangu nimoto naondoka rakin
2026-11-10 11:13:33
0
𝒇𝒊𝒈𝒉𝒕𝒆𝒓 𝒈𝒊𝒓𝒍🦋🌺 :
𝒂𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆🥰🥰
2026-11-10 09:56:52
0
Mrs 💜 :
Mim toka siku ya kwanza nilimwambia kbsa nakaa kwako miaka miwili sahiv ananiomba nisiondoke kwenye Ramadan maana aliniuliza nikukatie ticket yako kwenye Ramadan au utanisaidia kazi mpka tumalize Ramadan ndio utaondoka nimemwambia ayo tutayaongea February kwa sababu sitaki heka heka zisizo na ulazima
2026-11-10 09:42:51
3
k2.😎 :
2026-11-10 10:59:34
0
f@tmah moh@mmedy :
2026-11-10 11:10:54
0
mary :
kilo zinatakiwa ngap dada kwa ethiopia
2026-11-10 11:15:59
0
Team strong 💪🇹🇿🫶🇴🇲 :
mim napelekwa kwa mama mkwe wake kila Alahamisi kusasha nyumba
2026-11-10 10:54:22
0
yuuh mussa🧕🧕 💪💪🇴🇲 :
nikwel daa sakina nakupenda san
2026-11-10 11:16:41
0
minah :
Cha kufanya siku anakulabishi passport Ndio unamwambia mm Sirudi tna
2026-11-10 11:02:34
0
To see more videos from user @official_sakinah, please go to the Tikwm
homepage.