na ndiomaana mnatakiwa muwe waelewa sio kila kitu unapost huwezi jua nani mwema nan mbaya acha kuendekeza mitandao bint☺️
2026-11-10 15:13:55
111
mishy madoo 🇰🇪🇴🇲💰 :
hii ni ya nini kipenzi mbona za wenzio haipo ivo au sio ya uzazi hio
2026-11-10 15:39:16
20
linna🌹🥀 :
Pole dear
2026-11-11 15:24:56
1
Qim Faa :
pole my
2026-11-11 14:57:53
1
Humble :
Usipost mdogo wang pole mungu akuponyeeeee
2026-11-10 16:32:15
7
mama la mama sharifa :
pole dada
2026-11-11 08:20:03
0
zawadizawadimrish :
pole kipenzi kwani ulikua na uvimbe tumbani kipenzi
2026-11-11 07:58:48
6
Black twiga🦒🥰 :
Wamekuchana kizamani sikuiz wanachana chini ata aionekana pole sana mungu akuponye mapema
2026-11-10 18:09:39
9
user6136708788222 :
naangalia nikiwa hospital namshono watatu walasio wakupata mtoto nimatatizo tu lakini kipenzi changu usiposti mambo kama haya wanaoangalia niwengi na kuna wengine husda zao apoapo zinakufika sio kwaubaya kipenzi