@madamebosscosmetics85: #madamebosscosmetics

madameboss85
madameboss85
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 09:39:02 GMT
30740
1766
87
221

Music

Download

Comments

ineza737
Ineza :
😂😂😂Kuna wangu kosa lake anahamisha kwangu 😂😂
2026-11-10 10:41:48
25
missuzzane2
SUZZY KITCHEN &FRESH JUICE 🍔 :
Dah mm Niko nahuyo kijana jmn dah utasikia ukiongea sana suzzy me sijui kuongea Oky saw bc nisamee mm dah ❤️🫂 nampenda mchaga wangu wa marangu
2026-11-10 10:27:15
25
___r.e.y.__
❤️𝓡𝓮𝔂🦋🫧 :
Wangu hadi kulia analia na magoti anapiga😩❤️
2026-11-10 18:52:02
5
allanmallanja
It's allan :
Acha usiwape Siri dear, waache usiwape code wainjoe wachache please 🙏🏾. Please usiwape hiyo code
2026-11-10 17:51:17
1
billie5557
billie5557 :
Hiyo I’m sorry bila hela me hapana 😂😂😂😂😂
2026-11-10 11:43:57
7
heartfeltbliss022
heartfeltbliss022 :
Kheeee em nirudi jmn🥺make syo kwa msamaha anoomba😂
2026-11-10 09:53:43
0
mcharo95
Mcharo🥰 :
embu subiri hela si ipo au am sorry inakuja kavu kavu
2026-11-10 14:52:31
1
venomous_38
venom :
hili somo mpe demu wangu asee
2026-11-10 20:46:39
1
naeh004
Mini-annie✨ :
Babe wng anapepo yake 🤭
2026-11-10 19:22:21
1
minnah45
Minah🫦🦋 :
ivi unajua nimekuona pale nje ya office yako ulikuwa kwenye gar yako unaongea na boda🥰
2026-11-10 11:44:19
1
joey12992
Beingme ❤️🫧🦋 :
Msukuma wangu hajui neno samahani 😫😂
2026-11-10 19:17:53
1
naiverasichalwe05
🌸✨Giant ~Naiverah✨🌸 :
😂 Yesu Mlinde tu Mpare Wangu 😂❤️
2026-11-10 12:48:14
2
zawadi1396
jasmin :
wangu haombi mamae zake anakaa kimya tu
2026-11-10 10:49:57
1
faraja_cute62
FARAJA_CUTE :
😂😂😂😂😂
2026-11-10 09:49:54
0
umu3963
umu :
ninaushuhud presh
2026-11-10 21:04:55
0
aisha.babu4
MAI :
wakwangu anafanya kosa alafu anakufukoea
2026-11-10 20:13:35
0
amoni.joseph
amoni +255🇹🇿 :
naomba uwe ushauri wa mpenz wangu maana kuna mda anierewi
2026-11-10 20:32:58
0
rine2273
❤️ 😍 :
kwel mwaya uyu wang siez mwacha kamwee ✋️🤚
2026-11-10 09:47:21
1
dorica796
Aim Dee 🌸🌷🌻 :
Huyo ni baraka
2026-11-10 18:43:24
0
elizabeth.jacobo19
Aiem Lizzy 🎀❤️ :
Mungu amtunze uyu wangu❤️❤️
2026-11-10 18:26:19
0
ana.samata
subra n ngumu ila Ina malipo :
nashkur tn najion niko Pepon
2026-11-10 21:24:40
0
mellow.149
Mellow🦋 :
Nisameh ili kesho anarudia kaeni tuu😂
2026-11-10 20:46:33
0
amjulie30
amjulie30 :
mmh mtu anafanya makosa makusudi kila siku anaomba msamaha
2026-11-10 19:16:02
0
bmastory211
B Mastory21 :
Naombaga msamah lakn wap
2026-11-10 19:46:03
0
more.love5548
more love :
ka wangu mungu ANILINDIE jamni
2026-11-10 09:50:17
0
To see more videos from user @madamebosscosmetics85, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About