@dr_emma255: *CHANGAMOTO YA KUTOKUSHIKA UJAUZITO🫄🫄 IMEJIFICHA KWENYE MAMBO HAYA* *1. Tatizo la Ovulation (mwanamke kutotoa yai)* Hii ndiyo sababu kubwa zaidi. Husababisha: 👉PCOS (poly cystic ovary syndrome) 👉Weight (unene kupita kiasi au kupungua kupita kiasi) 👉Stress nyingi 👉Kisukari kisichodhibitiwa _Dalili: mzunguko kutokuwa sawa, kutokuona hedhi mara kwa mara._ *2. Matatizo ya Mirija ya Uzazi (Fallopian tubes)* Mirija ikiwa imeziba, mbegu haziwezi kukutana na yai. Sababu za kuziba: 👉Maambukizi ya muda mrefu (PID) 👉Uvimbe kwenye kizazi 👉Endometriosis 👉Kitu kilichotokea baada ya upasuaji *3. Tatizo kwenye Uteri (Kizazi)* 👉Kizazi kikiharibika au kuwa na uvimbe: 👉Fibroids (Uvimbe kwenye kizazi) 👉Polyps 👉Makovu baada ya mimba ya kuharibika au upasuaji *4. Wakati wa “Fertile Window” kutokufahamika* Wengi hushiriki tendo nje ya siku za kupata ujauzito. Siku za fertility huwa: Siku 5 kabla ya ovulation Siku ya ovulation Siku 1 baada ya ovulation *5. Umri* Uwezo wa kupata mimba hupungua baada ya miaka 30–35 Mayai hupungua na ubora kushuka. *6. Mahusiano ya tendo la ndoa (Sexual factors)* 👉Kutopata tendo mara kwa mara (kwa kawaida angalau mara 2–3 kwa wiki) 👉Maumivu wakati wa tendo 👉Uke kuwa mkavu sana (yaweza kuzuia mbegu kufika ndani) *7. Homoni kutokuwa sawa* Ukosefu wa homoni muhimu: 👉Progesterone 👉Estrogen 👉FSH / LH 👉Thyroid (tezi ya shingo) *8. Magonjwa mengine* 👉Kisukari 👉Shinikizo la damu 👉Endometriosis 👉Fibroids (Uvimbe kwenye kizazi) 9. Matumizi ya dawa na tabia 👉Kuvuta sigara 👉Pombe 👉Dawa za kulevya 👉Baadhi ya dawa za kutibu magonjwa mengine 📌Hivyo basi kama umetafuta ujauzito/mtoto kwa mda mrefu bila mafanikio. Kwa uwepo wa changamoto yoyote ile ya kiafya ambayo nimeezea hapo juu., Bado itakua ni vigumu endapo hutachukua hatua mapema ya kutibu Tatizo hilo. Na utaendelea kupoteza pesa nyingi kununua dawa za kupevusha mayai na bado hali itabakia ile ile. 👋🧏🏼Kwa kuendelea kupata elimu zaidi na dondoo za afya hakikisha ume..👇 FOLLOW, SHARE, LIKE... post hii ili iwafikie watu wengi zaidi. Dr. Emma +255 759 724 569 #fblifestyle #fypシ #kizazileo #fibroids_care #viral

Dr Emma AfyaTips
Dr Emma AfyaTips
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 09:42:01 GMT
131
8
1
1

Music

Download

Comments

p046563
p😶‍🌫️😇🤑 :
amen
2026-11-10 12:14:24
1
To see more videos from user @dr_emma255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About