@lovedisaster1: Kuachana sio uadui 📌

MR_LoveDisaster
MR_LoveDisaster
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 09:50:42 GMT
24525
1375
26
78

Music

Download

Comments

yusufhabibu405
Habibu Lyambo01 :
mm niki achana na mtu kama sija zaa nae hua na mblock kabisa maana sija chakuongea nae tena sitak mazoea kabisa
2026-11-11 22:57:03
2
jamila.khamisi5
Jamila Khamisi :
2nakubali ila inatofautiana 2meachana vipi mm siwezi kusamehe na sitasamehe
2026-11-12 06:41:25
0
momii811
momii :
0lpppl9009
2026-11-10 09:56:19
0
allyhema1
Ally Hema :
Nikweli ila Kuna kuachana na Kuna kuachwa wewe unazungumzia kuachana sasa!!!
2026-11-11 21:18:46
0
gee22320
gee :
kaniacha bila sababu halafu yeye ndo kaniblock
2026-11-11 20:07:55
0
salha.rajabu5
Salha Rajabu :
Kweli kabisa
2026-11-11 19:35:23
0
user6897845882510
Aysher :
Fact
2026-11-12 05:43:23
0
agathafelix85
Agatha felix :
fact kaka yanini kung'ang'ania visivyowezekana bwana kama na mama yangu tumeachana na nimekaa tumboni mwake miezi9 ingawa mm jilikaa miezi 12😂😂
2026-11-11 12:49:27
0
joeljulius11
user8536278598302 :
ambavyo uliniacha ndo na mm nitakuacha tusijuane hakuna ulafiki hapo nikuachana skujui tena
2026-11-11 15:10:35
0
msrachel54
Ms Rachel :
lbd kwa badae m2 kniambia tuachane alf nkiwa na shid nimwamby et yupo kwa ajir yng
2026-11-11 10:01:46
0
user77671711
The universe :
afadhali kusema ukweli
2026-11-10 17:08:15
0
mercyk430
Mercy Kerry :
unaongea ukweli mtupu kakangu.
2026-11-10 10:00:22
0
eliadadionizi
eliadadionizi :
tuliachana mwaka 1 nikaenda kwake kuwachukua wanangu anasema et tukumbushie nilivokataa hakuamn kuwa nimemoveon kiasi hcho mpaka leo anakuja kwangu kuwasalimia watoto anakaa kwenye kochi mita mia namuheshim ila kulalana nae siwez nishakuwa na mpenzi mwingne
2026-11-10 21:07:05
0
baby_nana96
baby_nana :
kula 5 mwanangu
2026-11-10 20:03:38
0
judith.mwashimanga
Judith mwashimanga :
fire
2026-11-10 19:16:49
0
baba.kim_og
BABA AD KIM 💫🏆 :
2026-11-11 11:19:43
0
faith.wa.kitale
Gift wa Chelsea 💯🤓 :
Wangu tuliwachana but bado tunaongea vizuri adi story ya mapenzi venye naona next year tutakua tumerudiana 😂😂😂😂
2026-11-10 18:28:35
1
annie.cute564
Annie 😍 cute :
yaan mimi uongo mbaya nilianzq kwa kulia sana miez kumi now kafunga ndoa juz tu akiona picha zqngu stutus analike ananifata chakumshangaza anaona naenderea na maisha yangu na ninafuraha kabisa
2026-11-11 11:26:14
0
user1709982200873
sofia :
kama kanitelekeza hata hahudumii mtoto Bado nimnyenuelee
2026-11-11 04:52:35
0
fact7815
fact :
kwajisi amenifanyia hili ya mungu ni adui. hatakaaa afanikiwe.
2026-11-11 06:17:27
0
ma.wii73
lyn💕 :
💯
2026-11-10 18:34:08
0
tatusalumkitdu6699
Tatusalumkitádu669912 :
🥰👌
2026-11-11 07:26:56
0
user4970026070807
user4970026070807 :
👊
2026-11-11 17:19:17
0
bobu.mc.45
BOBU 🇹🇿🤟45 :
[Fire][Fire][Fire]
2026-11-11 19:42:37
0
To see more videos from user @lovedisaster1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About