hongera sana mungu akukuzie mtoto wako ktk kimo na akili akawe mtoto mzuri kwa mungu na wanadamu wote
2026-11-10 14:39:54
3
Mrs manyambo :
hongera jameni duu mungu na sisi
2026-11-10 12:31:56
4
neema :
jaman mbona mm mtoot alikuwa 3,4 kg lakin ety nikaandikiwa bg baby na wakasema kawaida haitawezekana nikalazimisha op kwamba mtoto yuko vibaya aisee niliumia kweli yaan apo wanasema uzazi wote utakuwa n op ukishaanza op duu nachoka mm😭😭😭
2026-11-10 13:04:33
2
Eveken :
ubarikiwe mama
2026-11-10 14:29:47
1
Emmy 🛍️ :
Yoooh kilo zote izo si anatoka na papa lote😂 mi nashushaga 3.6 ila nahangaika masaa 10😢
2026-11-10 14:27:19
1
Sharo :
congratulations
2026-11-10 12:51:14
0
Bae sarah 😍 :
mwenyezi akukuzie akawe mtt mwenye hofu yake INSHALLAH
2026-11-10 15:04:46
1
Astelia🥰❤️ :
ivi kupost watoto wadogo mtandaoni ndo mnaona iko sawa badae wapate shida muanze kusumbua manes hospital na watumishi wa Mungu
2026-11-10 15:52:49
3
GABRIELLA KIBWANA :
hongera
2026-11-10 13:20:20
1
Hellen Mollel :
hongera sana
2026-11-10 13:02:56
1
Jesus is Able 07 :
Waooooo honger san me bado jmn sijui itakuwaje hiy day
2026-11-10 12:40:48
1
Asnath Elihud :
hongera mpenz
2026-11-10 13:48:37
1
Merry Paskari :
hongera mommy
2026-11-10 14:11:50
0
❤🦋Tiffa🦋 :
Cku nkizaa kilo hizo ntazimia kwanza baada ya hapo woiii🙌
2026-11-10 14:22:13
0
Adivella Erenest :
hongera sanaa kipenzi💕
2026-11-10 13:08:44
1
irene momy 💖 :
hongeraaaa
2026-11-10 12:55:02
1
Beth 🥰 :
hongera sana mungu azidi kumjalia
2026-11-10 14:34:17
1
Judith :
hongera
2026-11-10 13:14:41
1
Husnaa :
Hongera haikuwa rahisi Mungu nifanyie wepesi na mm InshaAllah 🙏
2026-11-10 12:49:52
1
To see more videos from user @drqueenhealthsolution, please go to the Tikwm
homepage.