@dicksonkazola03: #creatorsearchinsights #howtogetaviralvideo Mapema Leo ahsubu MHE. @gwajimad amepost katika ukusa wake wa instagram Haya hapa kama yalivyoandikwa: nampongeza Jacki Mngoni kwa kupaza sauti. Binafsi sijaiona hiyo video na sitaki hata kuiona zaidi mwenye nayo aache kusambaza aikabidhi Dawati la Jinsia @polisi.tanzania namba ya simu 0699 913 200 hiyo. Huyo mtoto naye kafanyiwa ukatili haraka aripoti Polisi au Ustawi wa Jamii ili huyo katili akamatwe apambane na kifungo cha hadi miaka 10 na faini hadi milioni 20 ikiwezekana vyote kwa pamoja kwa mujibu wa sheria. Baadhi ya watu wazima ni watoto tena watoto wajinga. Tupaze sauti, sheria ya mtoto ipo.#fypใทโค๏ธ๐โค๏ธ #maadili #malezi
hajabakwa lakin ametak mwenyew ss sis tumekosea wapi jmn
2026-11-10 15:15:13
0
first born :
@first born:@first born:@first born:kama mzazi au unategemea kuwa mzazi hili jambo sio la kuchekelea jamani tukae tukijua shetani yupo kazini na tujue kabisa watoto wetu hawapo salama๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-11-10 14:24:49
2
elias matiko :
achana
2026-11-10 10:26:54
3
Nasra Mweta :
dada mtoto anajua gesti ange bakwa sawa
2026-11-10 12:16:43
4
โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ :
wanapost kwa sababu sio mtoto wao wala ndugu yao,angekuwa ndugu yao wala wasingeshangilia kiufupi ubinadamu haupo tena jamani nimeumia Mimi ๐ณ
2026-11-10 12:17:50
4
Official Ayana :
kwan alitumwa afanye
2026-11-10 11:15:10
4
da zu :
ndiomana tunaiomba ili tuone nan anamakosa ili tukemee hizo tabia
2026-11-10 11:01:07
4
SALOREE :
Kweli dada
2026-11-10 11:09:49
1
รimello_โ๏ธ๐ :
Mimi wa kwanza kuzuia hili tumlinde mdogo wetu
2026-11-10 13:04:59
3
mama ester :
atajua yeye bana ila si alitaka mwenyewe
2026-11-10 12:55:50
1
To see more videos from user @dicksonkazola03, please go to the Tikwm
homepage.