@djmeshackfesto843:

DJMeshack Festo
DJMeshack Festo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 10:34:38 GMT
127510
8270
217
146

Music

Download

Comments

ochu.mchaani
ochu mchaani :
salute kapiga inavyotakiwa dogo
2026-11-12 08:27:15
142
bamgwani_10
Mnenge junior 🎭 :
Kijana makini sana 🫡
2026-11-11 17:08:41
54
fettylishas6
Fettylisha's :
🤣🤣🤣🤣 safiii dogo
2026-11-20 11:34:51
1
.stenhshhsgegeyyy
Sony pyramid :
tunao likubali jeshi tujuane
2026-11-11 04:55:17
130
yesssemathias
Abdulkareem :
yani hao jamaa waliovaa kiraia hapo nyuma ni askari timamu sana wamebana miguu walipoona dogo anatoa salute..💪💪✌️
2026-11-12 16:44:32
28
elfazorgreys
elfazorgrey :
Safi sana Afande! nimefurahishwa na utii wako kwa kijana wetu kukupgia salute bila hiyana ukamjibu hongera sana congratulations 👏
2026-11-12 08:51:40
40
labanakeyo
LabanAkeyo :
Turn out ya dongo ipo vizuri atakuwa vizuri sana baadae kwanza anaonekana Ana nguvu za mikono jambo ambalo ni nzuri zaidi
2026-11-12 06:44:30
23
samwelinashon
samwelinashon :
upendo huwa toka chini hila wachach ndy wanatuvunja moyo tyu respect afande wetu
2026-11-13 05:11:14
12
kumburu84
kumburu@ :
saf san atafika mbal uyo dogo
2026-11-11 07:36:09
10
mamucute401
mamucute401 :
Yuko vizur ni kama mbeya hapo
2026-11-11 08:49:30
10
vrnado3
vrnado :
jmnii inaonekana anapenda sn kuwa kama huyo namuombea kwa Allah akawe mkubwa na cheo Cha juu sana inshallah 🙏🙏
2026-11-12 10:12:39
15
user2969154518122
Christopher nkunku 18 :
JAMBO AFANDE 👍👍👍👊👊👊👊🙌
2026-11-11 18:57:12
10
dayzoojabil
Dayzoo Tz :
sema dog respect sanaaa mungu hamjaalie ndoto zitimie
2026-11-11 09:01:32
9
kimena918
G7.kimena🦍🌍 :
salut😂😂😂😂
2026-11-15 13:05:22
2
qubatz2
Mnazareti@13 :
2026-11-14 03:03:36
2
omaryomary011
CHIBU D :
2026-11-16 12:45:02
1
huntertanzania
Hunter Tanzania :
2026-11-15 16:10:12
1
latino_781
Dicosta :
2026-11-14 08:23:30
1
jackson48681
Jackson :
safi sna ins umeonyesha uzalendo wa kipindi kile cha six weeks na uendelee hivyo ipo siku utayaona mafanikio ya uzalendo
2026-11-20 10:20:50
1
user8423399974614
💫𝐆𝐎𝐃𝐄𝐒𝐇👑 :
I see what you mean
2026-11-17 06:35:32
1
bunga.mngande
Bunga Mng'ande :
jaman daah 🥰🥰
2026-11-12 11:11:27
3
ab_19935
AhmedBM :
Dogo anakata saluti kabla superior hajakata
2026-11-14 11:23:59
5
md.kisno19
md kisno 19❤️❤️ :
tunkubal san
2026-11-13 19:59:52
3
jovin_mtan
JOVIN MTAN :
We call it love
2026-11-14 15:03:51
2
gilo1986
shadyamussa :
MashaAllah
2026-11-13 11:36:53
2
To see more videos from user @djmeshackfesto843, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About