@cawabemedia_: Baadhi ya wasomi nchini Kenya wamefanya maandamano ya kipekee kupinga ukosefu wa ajira, kwa kuweka vyeti vyao vya elimu chini na kuketi juu yake kuonesha kuwa licha ya kupata elimu, bado hawajapata fursa za ajira. Kitendo hicho kinaakisi changamoto inayowakabili wahitimu wengi wanaotafuta ajira bila mafanikio, licha ya kuwa na sifa za kitaaluma.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 10:44:09 GMT
103755
2659
66
242

Music

Download

Comments

onesmo1827
Raphael :
😂😂😂😂 haraf yuko seriously
2026-11-10 11:22:09
10
user81565765053026
Godfrey32 :
broo mtafute dotot magar akuajili wasomi haiiiiiiiiii
2026-11-10 11:57:47
17
madam.ritha5
madam Ritha :
so unajua Kuna tofauti ya education na learning
2026-11-10 11:44:48
22
kodotips
kodo :
Hali ni mbaaya[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-10 19:55:34
0
fadhilillahomar
Falcon 9824 :
Anauz au 🤨
2026-11-10 10:49:55
3
eunoicon67.gmail.com1
eunoicon :
amechoka maskini
2026-11-10 12:17:52
7
mlolagilya
Mlola Gilya :
njoeni tupambn tu wote tupo na machungu lkn no way boys and girls
2026-11-10 11:59:59
4
kelivn395
kelivn :
Bora Mimi mvuvi niacha shule kitambo sasa hv hizi laki lakimbili nazishika kama ugali kila siku
2026-11-10 14:32:01
2
moudymtumweni3
Moudy Mtumweni :
haisaidii
2026-11-10 11:41:35
2
benny.tbender
benny t-bender :
kwa iyo wanamkomoa nani
2026-11-10 13:37:06
2
shashikant.prabhu
james :
wamewaingiza maexpert kibao
2026-11-10 12:21:26
1
wachuboy_
Babiloo_tz :
utumwa elimu ya kukariri notice elimu ya mkoloni inawatesa sana waafrika
2026-11-10 20:13:41
0
wizkhalifa9097
wizkhalifa :
Dotto njouwone wasomi uku
2026-11-10 19:11:44
0
amadybakari8
Amady bakari :
wapiii hiii😆😂☺️
2026-11-10 19:17:32
0
boyfa823
sultan :
walioko serekalini wawapishe waliopo nje kwa muda ni kupishana tu kama hawataki kuajiri lkn kwa kuwaaacha walioajiriwa alf wengine ukawaambia wajiari sio sawa hakuna haki kila mtu deserves the same right in a coutry no one is special
2026-11-10 16:26:19
0
richiesalamba1
RICHIE. :
utasikia sifanyi kazi bila laki 7,,wasomi haoooo mie la saba jamani
2026-11-10 18:51:37
0
gabliel56
mzuzu :
hueziamin namarafiki zangu wanasoma mimi shure nimeacha myaka 22 iliopita sitegemei serekali wara wazazi nikifer sina wakumulaumu
2026-11-10 16:58:02
0
.bn.omar8
Bn Omar :
mm vyangu nimeamuwa kumpa muuza vitumbuwa afungie wateja wake nikajitupa sait saiv ni saidia fundi nilicho chunguza pesa nilizo tolea chopi vyeti tu kuombea ajira na za daladal zina fika 700, 000
2026-11-10 13:47:48
0
ahmatar2024
ahmatar2023 :
sasa c ndio tujiajir
2026-11-10 16:29:37
0
user7135872558202
💥 Agustino🇹🇿💥 :
mbna walisha tangaziwa kuwaa Ajira amna
2026-11-10 19:45:54
0
user6769604611062
chozi :
Kwan unasoma ili uajiriwe?
2026-11-10 12:41:20
1
mechanics_dream
spea za bajaji :
tanzania msomi hana maana
2026-11-10 18:19:58
1
salum.zubeir02
Salum Zubeir :
Babu doto aliwambia lkn mukamuona sie wasomi hi
2026-11-10 13:29:54
1
songora.mtana
Songora Mtana :
Bado hawaamin maisha hayataki vyeti
2026-11-10 11:12:41
3
steven.moses14
Steven moses :
akili za msomi ni ajira iv waafrika tutabadilika ln
2026-11-10 11:19:02
3
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About