Kuweni makini sana wasije wakatumika awo mash.... kuleta taharuki katika nchi wasije wakatumika ili kuipoteza amani ya nchi hatujijui mpaka sasa tupo wapi kuweni makini sana dunia sahii imeshachafuka na wanaotumika ni wananchi wenyewe ikiwa walishamtumia mange kimambi ma wengine hawashindwi kuwatumia hawa mash...
Sisemi kuwa serikali iliopo iko perfect lkn kuweni makini msije mkaingia ktk njia msiopaswa kuipita 🙌
2026-11-10 12:31:57
7
latiphakhamis :
Endelea kutaja mbio mbio mara mume wangu yumo anapenda sana matako🤣🤣🤣
2026-11-10 15:18:46
1
my Gifty :
Iyo serekali inawachekea sn mn wanavuka mipaka
2026-11-10 13:24:55
1
Ayana👸🇹🇿 🇨🇩 💯 :
Heee 😳😳
2026-11-10 17:33:22
0
user9707923226129 :
watataja walokuwemo nawasiokuwemo ili kuchagua watu
2026-11-10 13:18:13
0
🥀…it’s Official ishaa gal👑❤️ :
Jmn😁
2026-11-10 17:04:53
0
Eby cool. :
heh
2026-11-10 12:47:03
0
my sabrina :
hatari
2026-11-10 11:19:12
0
Samuuu714 :
mh
2026-11-10 12:36:48
0
Little queen💖🍫 :
2026-11-10 14:23:27
0
j.Expensive💦 :
2026-11-10 15:05:04
0
Hishamu 92 :
😲😲😲
2026-11-10 11:59:28
0
SIDE SEFA :
wasiwasi wangu watamtaja chidi gogo
2026-11-10 13:37:47
0
Clean heart :
Watume n ushahid ndio tutawaamin
2026-11-10 13:13:40
2
Asham :
wasije kuwasingizia watu tu
2026-11-10 14:41:49
0
Farhiya :
awataje hasa tumechoka kuharibiwa watoto wetu
2026-11-10 16:15:34
0
mamy💋 :
sesemi mm nagopa
2026-11-10 16:16:31
0
dayo boy kgm :
kwan hao wot walimkula au
2026-11-10 14:00:49
0
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
mi namjua mmoja
2026-11-10 16:53:25
0
Daudi Kijana :
FAIDA ZA DEMOKRASIA
2026-11-10 12:28:09
0
faizadullah🇹🇿🇬🇧 :
mbon mwaka unaend kuishia kuzito jamn
2026-11-10 12:20:35
0
MOHAMMED KIJOGOO :
🥰🥰🥰
2026-11-10 11:02:54
1
To see more videos from user @kijogoo24, please go to the Tikwm
homepage.